Biblia Todo Logo
Biblia ya mtandaoni

- Matangazo -




Mathayo 8:1 - New Testament in Swahili (Zanzibar) Revised Edition 1921

1 ALIPOSHUKA mlimani, makutano mengi walimfuata.

Tazama sura Nakili


Matoleo zaidi

Biblia Habari Njema

1 Yesu aliposhuka mlimani, makundi mengi ya watu yalimfuata.

Tazama sura Nakili

Biblia Habari Njema - BHND

1 Yesu aliposhuka mlimani, makundi mengi ya watu yalimfuata.

Tazama sura Nakili

Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza

1 Yesu aliposhuka mlimani, makundi mengi ya watu yalimfuata.

Tazama sura Nakili

Neno: Bibilia Takatifu

1 Isa aliposhuka kutoka mlimani, makundi ya watu wakamfuata.

Tazama sura Nakili

Neno: Maandiko Matakatifu

1 Isa aliposhuka kutoka mlimani, makutano makubwa ya watu yakamfuata.

Tazama sura Nakili




Mathayo 8:1
12 Marejeleo ya Msalaba  

Nae Yesu akijua haya akatoka huko: makutano mengi wakamfuata; akawaponya wote,


Wakamwendea makutano mengi walio na viwete, vipofu, bubu, vilema, na wengine wengi pamoja nao, wakawaweka miguuni pa Yesu; akawaponya;


Makutano mengi wakamfuata, akawaponya huko.


Hatta walipokuwa wakitoka Yeriko mkutano mkubwa wakamfuata.


Makutano mengi wakamfuata, wakitoka Galilaya, na Dekapoli, na Yerusalemi, na Yahudi, na ngʼambu ya Yordani.


kwa maana alikuwa akiwafundisha kwa namna ya mwenye mamlaka, wala si kama waandishi wao.


Yesu alipoona makutano mengi wakimzunguka, akaamuru kuvuka hatta ngʼambu.


Akaja mwenye ukoma akamsujudu, akinena, Bwana, ukitaka, waweza kunitakasa.


Yesu akajitenga, yeye na wanafunzi wake, akaenda baharini. Watu wengi sana wakamfuata toka Galilaya, na toka Yahudi, na toka Yerusalemi,


Lakini khabari zake zikazidi kuenea, wakakutana makutano mengi kumsikiliza na kuponywa magonjwa yao.


Tufuate:

Matangazo


Matangazo