Mathayo 7:4 - New Testament in Swahili (Zanzibar) Revised Edition 19214 Au utamwambiaje ndugu yako, Niache niondoe kibanzi katika jicho lako; na kumbe! imo boriti ndani ya jicho lako? Tazama suraMatoleo zaidiBiblia Habari Njema4 Au, wawezaje kumwambia ndugu yako, ‘Ndugu, ngoja nikuondoe kibanzi jichoni mwako,’ wakati wewe mwenyewe unayo boriti jichoni mwako? Tazama suraBiblia Habari Njema - BHND4 Au, wawezaje kumwambia ndugu yako, ‘Ndugu, ngoja nikuondoe kibanzi jichoni mwako,’ wakati wewe mwenyewe unayo boriti jichoni mwako? Tazama suraBiblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza4 Au, wawezaje kumwambia ndugu yako, ‘Ndugu, ngoja nikuondoe kibanzi jichoni mwako,’ wakati wewe mwenyewe unayo boriti jichoni mwako? Tazama suraNeno: Bibilia Takatifu4 Au unawezaje kumwambia ndugu yako, ‘Acha nitoe kibanzi kwenye jicho lako,’ wakati kuna boriti kwenye jicho lako mwenyewe? Tazama suraNeno: Maandiko Matakatifu4 Au unawezaje kumwambia ndugu yako, ‘Acha nitoe kibanzi kwenye jicho lako,’ wakati kuna boriti kwenye jicho lako mwenyewe? Tazama sura |