Biblia Todo Logo
Biblia ya mtandaoni

- Matangazo -




Mathayo 7:28 - New Testament in Swahili (Zanzibar) Revised Edition 1921

28 Ikawa, Yesu alipomaliza maneno haya, makutano wakashangaa kwa mafundisho yake:

Tazama sura Nakili


Matoleo zaidi

Biblia Habari Njema

28 Yesu alipomaliza kusema maneno hayo, umati wa watu ukashangazwa na mafundisho yake.

Tazama sura Nakili

Biblia Habari Njema - BHND

28 Yesu alipomaliza kusema maneno hayo, umati wa watu ukashangazwa na mafundisho yake.

Tazama sura Nakili

Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza

28 Yesu alipomaliza kusema maneno hayo, umati wa watu ukashangazwa na mafundisho yake.

Tazama sura Nakili

Neno: Bibilia Takatifu

28 Isa alipomaliza kusema maneno haya, umati wa watu wakashangazwa sana na mafundisho yake,

Tazama sura Nakili

Neno: Maandiko Matakatifu

28 Isa alipomaliza kusema maneno haya, makutano ya watu wakashangazwa sana na mafundisho yake,

Tazama sura Nakili




Mathayo 7:28
18 Marejeleo ya Msalaba  

IKAWA Yesu alijiokwisha kuwaagiza wanafunzi wake thenashara, akatoka huka kwenda kufundisha na kukhubiri katika miji yao.


IKAWA Yesu alipomaliza maneno haya, akatoka Galilaya akafika mipaka ya Yahudi, ngʼambu ya Yordani.


Makutano waliposikia, wakashangaa kwa elimu yake.


IKAWA Yesu alipomaliza maneno haya yote, akawaambia wanafunzi wake,


mvua ikanya, maji mengi yakaja, pepo zikavuma, zikaipiga nyumba ile, ikaanguka; anguko lake likawa kubwa.


kwa maana alikuwa akiwafundisha kwa namna ya mwenye mamlaka, wala si kama waandishi wao.


Wakashangaa kwa mafundisho yake; kwa sababu alikuwa akiwafundisha kama mtu mwenye mamlaka wala si kama waandishi.


Waandishi na makuhani wakini wakapata khabari wakatafuta jinsi ya kumwangamiza: maami walimwogopa, kwa sababu makutano yote walishangaa kwa elimu yake.


Ilipokuwa sabato, akaanza kufundisha katika sunagogi: wengi wakisikia, wakashangaa, akinena, Huyu amepata wapi haya? Na, Hekima gani hii aliyopewa huyu, na nini miujiza hii mikubwa inayotendeka kwa mikono yake?


nao bawakuona la kutenda; maana watu wote waliambatana nae, wakimsikiliza.


Wote waliomsikia wakataajahu kwa akili zake na majibu yake.


Wakamshuhudia wote, wakayastaajabia maneno ya neema yaliyotoka kinywani mwake: wakanena, Huyu siye Mwana wa Yusuf?


wakashangaa mno kwa mafundisho yake, kwa sababu neno lake lilikuwa na uweza.


ALIPOKWISHA kuyamaliza maneno yake yote masikioni mwa watu akaingia Kapernaum.


Wayahudi wakastaajabu, wakinena, Amepataje huyo kujua elimu, nae hajasoma?


Wale watumishi wakajibu, Hajanena kamwe mwana Adamu aliye yote kama huyu anavyonena.


Tufuate:

Matangazo


Matangazo