Biblia Todo Logo
Biblia ya mtandaoni

- Matangazo -




Mathayo 7:26 - New Testament in Swahili (Zanzibar) Revised Edition 1921

26 Na killa asikiae haya maneno yangu, asiyafanye, atafananishwa na mtu mpumbavu, alivejenga nyumba yake katika mchanga;

Tazama sura Nakili


Matoleo zaidi

Biblia Habari Njema

26 “Lakini yeyote anayesikia maneno yangu haya bila kuyazingatia, anafanana na mtu mpumbavu aliyejenga nyumba yake juu ya mchanga.

Tazama sura Nakili

Biblia Habari Njema - BHND

26 “Lakini yeyote anayesikia maneno yangu haya bila kuyazingatia, anafanana na mtu mpumbavu aliyejenga nyumba yake juu ya mchanga.

Tazama sura Nakili

Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza

26 “Lakini yeyote anayesikia maneno yangu haya bila kuyazingatia, anafanana na mtu mpumbavu aliyejenga nyumba yake juu ya mchanga.

Tazama sura Nakili

Neno: Bibilia Takatifu

26 Kila anayesikia haya maneno yangu na asiyatende ni kama mtu mjinga aliyejenga nyumba yake kwenye mchanga.

Tazama sura Nakili

Neno: Maandiko Matakatifu

26 Naye kila anayesikia haya maneno yangu wala asiyatende, ni kama mtu mjinga aliyejenga nyumba yake kwenye mchanga.

Tazama sura Nakili




Mathayo 7:26
9 Marejeleo ya Msalaba  

Bassi killa asikiae haya maneno yangu, na kuyafanya, nitamfananisha na mtu mwenye akili aliyejenga nyumba vake juu ya mwamba:


mvua ikanya, maji mengi yakaja, pepo zikavuma, zikaipiga nyumba ile, isianguke; kwa maana misingi yake imewekwa katika mwamba.


mvua ikanya, maji mengi yakaja, pepo zikavuma, zikaipiga nyumba ile, ikaanguka; anguko lake likawa kubwa.


Nae asikiae bila kutenda afanana na mtu aliyejenga nyumba juu ya udongo pasipo msingi: bassi mto ukairukia kwa nguvu, ikaanguka marra, na kuanguka kwake ile nyumba kulikuwa kukubwa.


Lakini wataka kujua, wewe mwana Adamu usiye kitu, kwamba imani pasipo matendo haizai?


Tufuate:

Matangazo


Matangazo