Mathayo 7:18 - New Testament in Swahili (Zanzibar) Revised Edition 192118 Mti mwema hauwezi kuzaa matunda hafifu, wala mti uliopea kuzaa matunda mazuri. Tazama suraMatoleo zaidiBiblia Habari Njema18 Mti mzuri hauwezi kuzaa matunda mabaya, wala mti mbaya hauwezi kuzaa matunda mazuri. Tazama suraBiblia Habari Njema - BHND18 Mti mzuri hauwezi kuzaa matunda mabaya, wala mti mbaya hauwezi kuzaa matunda mazuri. Tazama suraBiblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza18 Mti mzuri hauwezi kuzaa matunda mabaya, wala mti mbaya hauwezi kuzaa matunda mazuri. Tazama suraNeno: Bibilia Takatifu18 Mti mwema hauwezi kuzaa matunda mabaya, wala mti mbaya hauwezi kuzaa matunda mazuri. Tazama suraNeno: Maandiko Matakatifu18 Mti mwema hauwezi kuzaa matunda mabaya, wala mti mbaya hauwezi kuzaa matunda mazuri. Tazama sura |