Biblia Todo Logo
Biblia ya mtandaoni

- Matangazo -

Mathayo 7:16 - New Testament in Swahili (Zanzibar) Revised Edition 1921

16 Mtawalambua kwa matunda yao. Je, watu huchuma zabibu katika miiba, au tini katika mibaruti?

Tazama sura Nakili

Matoleo zaidi

Biblia Habari Njema

16 Mtawatambua kwa matendo yao. Je, watu huchuma zabibu katika miti ya miiba, au tini katika mbigili? La!

Tazama sura Nakili

Biblia Habari Njema - BHND

16 Mtawatambua kwa matendo yao. Je, watu huchuma zabibu katika miti ya miiba, au tini katika mbigili? La!

Tazama sura Nakili

Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza

16 Mtawatambua kwa matendo yao. Je, watu huchuma zabibu katika miti ya miiba, au tini katika mbigili? La!

Tazama sura Nakili

Neno: Bibilia Takatifu

16 Mtawatambua kwa matunda yao. Je, watu huchuma zabibu kwenye miiba, au tini kwenye michongoma?

Tazama sura Nakili

Neno: Maandiko Matakatifu

16 Mtawatambua kwa matunda yao. Je, watu huchuma zabibu kwenye miiba, au tini kwenye michongoma?

Tazama sura Nakili

Mathayo 7:16
10 Marejeleo ya Msalaba  

Ufanyeni mti kuwa mzuri na matunda yake kuwa mazuri; au ufanyeni mti kuwa mbaya na matunda yake mabaya, kwa maana kwa matunda yake mti hujulikana.

Bassi kwa matunda yao mtawatambua.

Lakini matunda ya Roho ni upendo, furaha, amani, uvumilivu, utu wema, fadhili, uaminifu,

Lakini mtu atasema, Wewe una imani, nami nina matendo. Nionyeshe imani yako pasipo matendo yako, nami nitakuonyesha imani yangu kwa matendo yangu.

Ndugu zangu, mtini waweza kuzaa mazeituni au mzabibu tini? Kadhalika chemchemi haiwezi kutoa maji ya chumvi na niaji matamu.

Tufuate:

Matangazo

Matangazo