Biblia Todo Logo
Biblia ya mtandaoni

- Matangazo -

Mathayo 7:12 - New Testament in Swahili (Zanzibar) Revised Edition 1921

12 Bassi yo yote mtakayo kutendewa na watu, nanyi mwatendee vivyo hivyo: maana hiyo ndiyo torati na manabii.

Tazama sura Nakili

Matoleo zaidi

Biblia Habari Njema

12 “Yote mnayotaka watu wawatendee nyinyi, watendeeni wao vivyo hivyo. Hii ndiyo maana ya sheria ya Mose na mafundisho ya manabii.

Tazama sura Nakili

Biblia Habari Njema - BHND

12 “Yote mnayotaka watu wawatendee nyinyi, watendeeni wao vivyo hivyo. Hii ndiyo maana ya sheria ya Mose na mafundisho ya manabii.

Tazama sura Nakili

Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza

12 “Yote mnayotaka watu wawatendee nyinyi, watendeeni wao vivyo hivyo. Hii ndiyo maana ya sheria ya Mose na mafundisho ya manabii.

Tazama sura Nakili

Neno: Bibilia Takatifu

12 Kwa hiyo chochote mnachotaka mtendewe na watu, ninyi nanyi watendeeni vivyo hivyo. Kwa kuwa hii ndiyo Torati na Manabii.

Tazama sura Nakili

Neno: Maandiko Matakatifu

12 Kwa hiyo chochote mnachotaka mtendewe na watu, ninyi nanyi watendeeni vivyo hivyo. Kwa kuwa hii ndiyo Torati na Manabii.

Tazama sura Nakili

Mathayo 7:12
19 Marejeleo ya Msalaba  

Msidhani ya kuwa nalikuja kuitangua torati au manabii; la, sikuja kutangua, bali kutimiliza.

Na kama mnavyotaka watu wawatendee ninyi, nanyi watendeeni vivyo hivyo.

Bali kusudi la mausia hayo ni upendo utokao katika moyo safi na dhamiri njema, na imani isiyo na unafiki:

Illakini mkiitimiza sharia ya kifalme kama ilivyoandikwa. Mpende jirani yako kama nafsi yako, mwatenda vyema.

Tufuate:

Matangazo

Matangazo