Biblia Todo Logo
Biblia ya mtandaoni

- Matangazo -

Mathayo 6:8 - New Testament in Swahili (Zanzibar) Revised Edition 1921

8 Bassi msifanane na hawo; maana Baba yenu anajua mnayohitaji kabla ninyi hamjamwomba.

Tazama sura Nakili

Matoleo zaidi

Biblia Habari Njema

8 Msiwe kama wao. Baba yenu anajua mnayoyahitaji hata kabla ya kumwomba.

Tazama sura Nakili

Biblia Habari Njema - BHND

8 Msiwe kama wao. Baba yenu anajua mnayoyahitaji hata kabla ya kumwomba.

Tazama sura Nakili

Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza

8 Msiwe kama wao. Baba yenu anajua mnayoyahitaji hata kabla ya kumwomba.

Tazama sura Nakili

Neno: Bibilia Takatifu

8 Msiwe kama wao, kwa sababu Baba yenu anajua kile mnachohitaji kabla hamjamwomba.

Tazama sura Nakili

Neno: Maandiko Matakatifu

8 Msiwe kama wao, kwa sababu Baba yenu anajua kile mnachohitaji kabla hamjamwomba.

Tazama sura Nakili

Mathayo 6:8
6 Marejeleo ya Msalaba  

Kwa maana haya yote Mataifa huyatafuta; kwa sababu Baba yenu wa mbinguni anajua ya kuwa mnahitaji haya yote.

Maana mataifa wa dunia huyatafuta hayo yote, lakini Baba yenu anajua ya kuwa mnahitaji hayo.

Msijisumbue kwa neno lo lote; bali katika killa neno kwa kusali na kuomba pamoja na kushukuru haja zenu zijulike kwa Mungu.

Tufuate:

Matangazo

Matangazo