Biblia Todo Logo
Biblia ya mtandaoni

- Matangazo -




Mathayo 6:4 - New Testament in Swahili (Zanzibar) Revised Edition 1921

4 sadaka yako iwe kwa siri: na Baba yako aonae kwa siri atakujazi kwa dhahiri.

Tazama sura Nakili


Matoleo zaidi

Biblia Habari Njema

4 Toa msaada wako kwa siri, na Baba yako aonaye yaliyofichika, atakutuza.

Tazama sura Nakili

Biblia Habari Njema - BHND

4 Toa msaada wako kwa siri, na Baba yako aonaye yaliyofichika, atakutuza.

Tazama sura Nakili

Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza

4 Toa msaada wako kwa siri, na Baba yako aonaye yaliyofichika, atakutuza.

Tazama sura Nakili

Neno: Bibilia Takatifu

4 ili sadaka yako iwe ni siri. Ndipo Baba yako wa mbinguni, yeye aonaye sirini atakupa thawabu kwa wazi.

Tazama sura Nakili

Neno: Maandiko Matakatifu

4 ili sadaka yako iwe ni siri. Ndipo Baba yako wa mbinguni, yeye aonaye sirini atakupa thawabu kwa wazi.

Tazama sura Nakili




Mathayo 6:4
19 Marejeleo ya Msalaba  

Na mtu aliye yote atakaemnywesha mmojawapo wa wadogo hawa kikombe cha maji ya baridi tu, kwa kuwa yu mwanafunzi, amin, nawaambieni, haitampotea kamwe thawabu yake.


illi usionekane na watu kuwa unafunga, bali na Baba yako aliye kwa siri; na Baba yako, aonae kwa siri, atakujazi kwa dhahiri.


Bali wewe utoapo sadaka, hatta mkono wako wa kushoto usijue mkono wako wa kuume ufanyalo;


Bali wewe usalipo, ingia chumba chako cha ndani, na ukiisha kufunga mlango wako, usali mbele ya Baba yako aliye kwa siri: na Baba yako aonae kwa siri atakujazi kwa dhahiri.


kwa sababu hawana kitu cha kukulipa; maana utalipwa katika ufufuo wa wenye haki.


Kwa maana hakuna neno lililostirika ambalo halitakuwa dhabiri, wala neno lililofichwa ambalo halitajulikana, na kutokea wazi.


Bassi msihukumu neno kabla ya wakati wake, mpaka ajapo Bwana; nae atayamulika yaliyosetirika ya giza, na kuyadhihirisha mashauri ya mioyo; ndipo killa mtu atakapoipata sifa yake kwa Mungu.


Wala hakuna kiumbe kisicho wazi mbele zake, lakini vitu vyote vi utupu, na kufunuliwa machoni pake aliye na mambo yetu.


Kwake Yeye awezae kuwalinda ninyi msijikwae, na kuwasimamisha mbele ya utukufu wake bila mawaa katika furaha kuu,


nami nitawaua watoto wake kwa manti. Na makanisa yote watajua ya kuwa mimi ndiye achunguzae viuno na mioyo. Nami nitampa killa mmoja wenu kwa kadiri ya matendo yenu.


Tufuate:

Matangazo


Matangazo