Biblia Todo Logo
Biblia ya mtandaoni

- Matangazo -




Mathayo 6:34 - New Testament in Swahili (Zanzibar) Revised Edition 1921

34 Bassi msisumbukie kesho; kwa kuwa kesho itayasumbukia mambo yake. Watosba kwa siku ubaya wake.

Tazama sura Nakili


Matoleo zaidi

Biblia Habari Njema

34 Basi, msiwe na wasiwasi juu ya kesho; kesho inayo yake. Matatizo ya siku moja yanawatosheni kwa siku hiyo.

Tazama sura Nakili

Biblia Habari Njema - BHND

34 Basi, msiwe na wasiwasi juu ya kesho; kesho inayo yake. Matatizo ya siku moja yanawatosheni kwa siku hiyo.

Tazama sura Nakili

Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza

34 Basi, msiwe na wasiwasi juu ya kesho; kesho inayo yake. Matatizo ya siku moja yanawatosheni kwa siku hiyo.

Tazama sura Nakili

Neno: Bibilia Takatifu

34 Kwa hiyo msiwe na wasiwasi kuhusu kesho, kwa sababu kesho itajitaabikia yenyewe. Kila siku ina masumbufu yake ya kutosha.

Tazama sura Nakili

Neno: Maandiko Matakatifu

34 Kwa hiyo msiwe na wasiwasi kuhusu kesho, kwa sababu kesho itajitaabikia yenyewe. Yatosha kwa siku masumbufu yake.

Tazama sura Nakili




Mathayo 6:34
20 Marejeleo ya Msalaba  

Utupe leo riziki zetu.


Kiva sababu hii nawaambieni, Msisumbukie maisha yenu, mleni au mnyweni; wala mwili wenu, mvaeni. Maisha je, si zaidi ya chakula, na mwili zaidi ya mavazi?


Yupi katika ninyi awezae kwa kusumbuka kujiongeza kimo chake mkono mmoja?


Bwana akamjibu akamwambia, Martha, Martha, unajisumbua na kujifadhaisha kwa ajili ya mambo mengi:


Ufalme wako uje. Mapenzi yako yatimizwe, kama mbinguni, kadhalika duniani.


Na watakapowapeleka mbele za sunagogi na maliwali na wenye mamlaka, msifadhaike kwa kuwaza jinsi mtakavyojibu au mtakavyosema:


Akawaambia wanafunzi wake, Kwa sababu hii nawaambieni, Msisumbukie maisha yenu, mleni: wala miili yenu mvaeni.


Amani nawaachieni; amani yangu nawatolea; si kama ulimwengu utoavyo, mimi nawatolea. Msifadhaike moyo wenu, wala msiwe na woga.


Haya nimewaambieni, mpate kuwa na amani ndani yangu. Ulimwenguni mtapata shidda: lakini jipeni moyo; mimi nimeushinda ulimwengu.


wakifanya imara roho za wanafunzi na kuwaonya wakae katika imani, na ya kwamba imetupasa kuingia katika ufalme wa Mungu kwa njia ya shidda nyingi.


Msijisumbue kwa neno lo lote; bali katika killa neno kwa kusali na kuomba pamoja na kushukuru haja zenu zijulike kwa Mungu.


mkimtwika yeye taabu zenu zote, kwa maana yeye hujishughulisha sana katika mambo yenu.


Tufuate:

Matangazo


Matangazo