Biblia Todo Logo
Biblia ya mtandaoni

- Matangazo -




Mathayo 6:28 - New Testament in Swahili (Zanzibar) Revised Edition 1921

28 Na mavazi, ya nini kuyasumbukia? Fikirini khabari za maua ya mashamba, jinsi yameavyo; hayatendi kazi, wala hayasokoti:

Tazama sura Nakili


Matoleo zaidi

Biblia Habari Njema

28 “Na kuhusu mavazi, ya nini kuwa na wasiwasi? Tazameni maua ya porini jinsi yanavyostawi. Hayafanyi kazi wala hayasokoti.

Tazama sura Nakili

Biblia Habari Njema - BHND

28 “Na kuhusu mavazi, ya nini kuwa na wasiwasi? Tazameni maua ya porini jinsi yanavyostawi. Hayafanyi kazi wala hayasokoti.

Tazama sura Nakili

Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza

28 “Na kuhusu mavazi, ya nini kuwa na wasiwasi? Tazameni maua ya porini jinsi yanavyostawi. Hayafanyi kazi wala hayasokoti.

Tazama sura Nakili

Neno: Bibilia Takatifu

28 “Nanyi kwa nini mnajitaabisha kwa ajili ya mavazi? Fikirini maua ya shambani yameavyo. Hayafanyi kazi wala hayafumi.

Tazama sura Nakili

Neno: Maandiko Matakatifu

28 “Nanyi kwa nini mnajitaabisha kwa ajili ya mavazi? Fikirini maua ya shambani yameavyo. Hayafanyi kazi wala hayafumi.

Tazama sura Nakili




Mathayo 6:28
13 Marejeleo ya Msalaba  

wala mkoba wa safari, wula kanzu mbili, wala viatu, wala fimbo: maana mtenda kazi astahili posho lake.


Kiva sababu hii nawaambieni, Msisumbukie maisha yenu, mleni au mnyweni; wala mwili wenu, mvaeni. Maisha je, si zaidi ya chakula, na mwili zaidi ya mavazi?


Yupi katika ninyi awezae kwa kusumbuka kujiongeza kimo chake mkono mmoja?


Msisumbuke, bassi, mkinena, Tuleni? au, Tunyweni? au, Tuvaeni?


Bwana akamjibu akamwambia, Martha, Martha, unajisumbua na kujifadhaisha kwa ajili ya mambo mengi:


Na watakapowapeleka mbele za sunagogi na maliwali na wenye mamlaka, msifadhaike kwa kuwaza jinsi mtakavyojibu au mtakavyosema:


Akawaambia wanafunzi wake, Kwa sababu hii nawaambieni, Msisumbukie maisha yenu, mleni: wala miili yenu mvaeni.


Yatafakarini maua jinsi yameavyo: hayatendi kazi wala hayasokoti, nami nawaambieni ya kwamba hatta Sulemani, katika fakhari yake yote hakuvikwa kama mojawapo la hayo.


Akajibu akawaambia, Mwenye kanzu mbili na ampe yeye asiye nayo, na mwenye vyakula, na afanye vivyo hivyo.


Msijisumbue kwa neno lo lote; bali katika killa neno kwa kusali na kuomba pamoja na kushukuru haja zenu zijulike kwa Mungu.


mkimtwika yeye taabu zenu zote, kwa maana yeye hujishughulisha sana katika mambo yenu.


Tufuate:

Matangazo


Matangazo