Biblia Todo Logo
Biblia ya mtandaoni

- Matangazo -




Mathayo 6:26 - New Testament in Swahili (Zanzibar) Revised Edition 1921

26 Waangalieni ndege wa anga, ya kwamba hawapandi, wala hawavuni, wala hawakusanyi ghalani; na Baba yenu wa mbinguni awalisha hawo. Ninyi je! si bora kupita hawo?

Tazama sura Nakili


Matoleo zaidi

Biblia Habari Njema

26 Waangalieni ndege wa mwituni: Hawapandi, hawavuni, wala hawana ghala yoyote. Hata hivyo, Baba yenu wa mbinguni huwalisha. Je, nyinyi si wa thamani kuliko hao?

Tazama sura Nakili

Biblia Habari Njema - BHND

26 Waangalieni ndege wa mwituni: Hawapandi, hawavuni, wala hawana ghala yoyote. Hata hivyo, Baba yenu wa mbinguni huwalisha. Je, nyinyi si wa thamani kuliko hao?

Tazama sura Nakili

Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza

26 Waangalieni ndege wa mwituni: hawapandi, hawavuni, wala hawana ghala yoyote. Hata hivyo, Baba yenu wa mbinguni huwalisha. Je, nyinyi si wa thamani kuliko hao?

Tazama sura Nakili

Neno: Bibilia Takatifu

26 Waangalieni ndege wa angani; wao hawapandi wala hawavuni au kuweka ghalani, lakini Baba yenu wa mbinguni huwalisha. Je, ninyi si wa thamani kuliko hao ndege?

Tazama sura Nakili

Neno: Maandiko Matakatifu

26 Waangalieni ndege wa angani; wao hawapandi wala hawavuni au kuweka ghalani, lakini Baba yenu wa mbinguni huwalisha. Je, ninyi si wa thamani zaidi kuliko hao ndege?

Tazama sura Nakili




Mathayo 6:26
15 Marejeleo ya Msalaba  

Kwa maana haya yote Mataifa huyatafuta; kwa sababu Baba yenu wa mbinguni anajua ya kuwa mnahitaji haya yote.


Au mtu yupi katika ninyi, ambae, mwanawe akimwomba mkate, atampa jiwe?


Akasema, Nitafanya hivi: nitavunja ghala zangu, nitajenga kubwa zaidi: na humo nitaweka akiba nafaka zangu zote, na mali zangu.


Tufuate:

Matangazo


Matangazo