Biblia Todo Logo
Biblia ya mtandaoni

- Matangazo -




Mathayo 6:19 - New Testament in Swahili (Zanzibar) Revised Edition 1921

19 Msijiwekee hazina duniani, nondo na kutu ziharibupo, na wevi huvunja na kuiba:

Tazama sura Nakili


Matoleo zaidi

Biblia Habari Njema

19 “Msijiwekee hazina hapa duniani ambako nondo na kutu huharibu, na wezi huingia na kuiba.

Tazama sura Nakili

Biblia Habari Njema - BHND

19 “Msijiwekee hazina hapa duniani ambako nondo na kutu huharibu, na wezi huingia na kuiba.

Tazama sura Nakili

Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza

19 “Msijiwekee hazina hapa duniani ambako nondo na kutu huharibu, na wezi huingia na kuiba.

Tazama sura Nakili

Neno: Bibilia Takatifu

19 “Msijiwekee hazina duniani, ambapo nondo na kutu huharibu, nao wezi huvunja na kuiba.

Tazama sura Nakili

Neno: Maandiko Matakatifu

19 “Msijiwekee hazina duniani, mahali ambapo nondo na kutu huharibu, nao wevi huvunja na kuiba.

Tazama sura Nakili




Mathayo 6:19
23 Marejeleo ya Msalaba  

Yesu akamwambia, Ukitaka kuwa mkamilifu, enenda ukauze mali zako, uwape maskini, nawe utakuwa na hazina mbinguni; kiisha njoo unifuate.


bali jiwekeeni hazina mbinguni, zisikobaribu nondo wala kutu, wala wevi hawavunji wala kuiba;


Ndivyo alivyo yeye ajiwekeae nafsi yake akiba wala hawi tajiri machoni pa Mungu.


Viuzeni mlivyo navyo, katoeni sadaka, jifanyieni mifuko isiyochakaa, akiba isiyopungua katika mbingu, asikokaribia mwizi, wala nondo kuharibu.


Lakini jueni haya ya kuwa mwenye nyumba angaliijua saa atakayokuja mwizi, angalikesha asiache nyumba yake kuvunjwa.


Yesu aliposikia haya, akamwambia, Neno moja hujalipata bado; viuze vitu vyote ulivyo navyo, ukawagawie maskini, nawe utakuwa na hazina mbinguni. Kiisha, njoo unifuate.


Bassi Yesu alipoona ya kuwa amefanya huzuni nyingi, akasema, Kwa shidda gani wenye mali watauingia ufalme wa Mungu.


Uwaagize walio matajiri katika ulimwengu huu wasijivune, wala wasitumainie utajiri usio yakini, bali Mungu aliye hayi atupae vitu vyote kwa wingi, tuvitumie kwa furaha;


Msiwe na tabia ya kupenda fedha: mwe radhi na vitu mlivyo navyo; kwa kuwa yeye mwenyewe amesema, Sitakupungukia kabisa, wala sitakuacha kabisa.


Tufuate:

Matangazo


Matangazo