Biblia Todo Logo
Biblia ya mtandaoni

- Matangazo -




Mathayo 6:18 - New Testament in Swahili (Zanzibar) Revised Edition 1921

18 illi usionekane na watu kuwa unafunga, bali na Baba yako aliye kwa siri; na Baba yako, aonae kwa siri, atakujazi kwa dhahiri.

Tazama sura Nakili


Matoleo zaidi

Biblia Habari Njema

18 ili mtu yeyote asijue kwamba unafunga, ila ujulikane tu kwa Baba yako asiyeonekana. Naye Baba yako aonaye yaliyofichika, atakutuza.

Tazama sura Nakili

Biblia Habari Njema - BHND

18 ili mtu yeyote asijue kwamba unafunga, ila ujulikane tu kwa Baba yako asiyeonekana. Naye Baba yako aonaye yaliyofichika, atakutuza.

Tazama sura Nakili

Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza

18 ili mtu yeyote asijue kwamba unafunga, ila ujulikane tu kwa Baba yako asiyeonekana. Naye Baba yako aonaye yaliyofichika, atakutuza.

Tazama sura Nakili

Neno: Bibilia Takatifu

18 ili kufunga kwako kusionekane na watu wengine ila Baba yako anayeketi mahali pa siri; naye Baba yako aonaye sirini atakupa thawabu yako kwa wazi.

Tazama sura Nakili

Neno: Maandiko Matakatifu

18 ili kufunga kwenu kusionekane na watu wengine ila Baba yenu aketiye mahali pa siri; naye Baba yenu aonaye sirini atawapa thawabu yenu kwa wazi.

Tazama sura Nakili




Mathayo 6:18
8 Marejeleo ya Msalaba  

sadaka yako iwe kwa siri: na Baba yako aonae kwa siri atakujazi kwa dhahiri.


Bali wewe usalipo, ingia chumba chako cha ndani, na ukiisha kufunga mlango wako, usali mbele ya Baba yako aliye kwa siri: na Baba yako aonae kwa siri atakujazi kwa dhahiri.


atakaemlipa killa mtu kwa kadiri ya matendo yake;


Maana mtu mwenye kubaliwa si yeye ajisifuye, hali yeve asifiwae na Bwana.


Kwa hiyo, tena, ikiwa tupo hapa, au ikiwa hatupo hapa, twajitahidi kumpendeza yeye.


illi kujaribiwa kwake imani yenu, ambako kuna thamani kuu kuliko dbahabu ipoteayo, ijapokuwa imejaribiwa kwa moto, kuonekane kuwa kwenye sifa na utukufu na heshima, katika kufunuliwa kwake Yesu Kristo:


Tumikieni killa kiamriwacho na watu, kwa ajili ya Bwana; ikiwa mfalme, kama mwenye cheo kikuliwa;


Tufuate:

Matangazo


Matangazo