Biblia Todo Logo
Biblia ya mtandaoni

- Matangazo -

Mathayo 6:15 - New Testament in Swahili (Zanzibar) Revised Edition 1921

15 Bali msipowasamehe watu makosa yao, wala Baba yenu hatawasamehe ninyi makosa yenu.

Tazama sura Nakili

Matoleo zaidi

Biblia Habari Njema

15 Lakini msipowasamehe watu makosa yao, naye Baba yenu hatawasamehe nyinyi makosa yenu.

Tazama sura Nakili

Biblia Habari Njema - BHND

15 Lakini msipowasamehe watu makosa yao, naye Baba yenu hatawasamehe nyinyi makosa yenu.

Tazama sura Nakili

Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza

15 Lakini msipowasamehe watu makosa yao, naye Baba yenu hatawasamehe nyinyi makosa yenu.

Tazama sura Nakili

Neno: Bibilia Takatifu

15 Lakini msipowasamehe watu wengine makosa yao, naye Baba yenu hatawasamehe ninyi makosa yenu.

Tazama sura Nakili

Neno: Maandiko Matakatifu

15 Lakini msipowasamehe watu wengine makosa yao, naye Baba yenu hatawasamehe ninyi makosa yenu.

Tazama sura Nakili

Mathayo 6:15
4 Marejeleo ya Msalaba  

Vivyo hivyo na Baba yangu wa mbinguni atawatenda ninyi, kama ninyi kwa mioyo yenu hamkusamehe killa mtu ndugu yake makosa yake.

Wa kheri wenye rehema: maana hawo watarehemiwa.

Kwa kuwa wako ni ufalme, na nguvu, na utukufu, hatta milele. Amin. Kwa maana mkiwasamehe watu makosa yao, Baba yenu wa mbinguni atawasamehe nanyi.

La, kama ninyi hamsamehe, wala Baba yenu aliye mbinguni hatawasamehe ninyi makosa yenu.

Tufuate:

Matangazo

Matangazo