Biblia Todo Logo
Biblia ya mtandaoni

- Matangazo -




Mathayo 6:14 - New Testament in Swahili (Zanzibar) Revised Edition 1921

14 Kwa kuwa wako ni ufalme, na nguvu, na utukufu, hatta milele. Amin. Kwa maana mkiwasamehe watu makosa yao, Baba yenu wa mbinguni atawasamehe nanyi.

Tazama sura Nakili


Matoleo zaidi

Biblia Habari Njema

14 “Maana mkiwasamehe watu makosa yao, Baba yenu wa mbinguni atawasamehe nyinyi pia.

Tazama sura Nakili

Biblia Habari Njema - BHND

14 “Maana mkiwasamehe watu makosa yao, Baba yenu wa mbinguni atawasamehe nyinyi pia.

Tazama sura Nakili

Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza

14 “Maana mkiwasamehe watu makosa yao, Baba yenu wa mbinguni atawasamehe nyinyi pia.

Tazama sura Nakili

Neno: Bibilia Takatifu

14 Kwa kuwa mkiwasamehe watu wengine wanapowakosea, Baba yenu wa mbinguni atawasamehe ninyi pia.

Tazama sura Nakili

Neno: Maandiko Matakatifu

14 Kwa kuwa kama mkiwasamehe watu wengine wanapowakosea, Baba yenu wa mbinguni atawasamehe ninyi pia.

Tazama sura Nakili




Mathayo 6:14
12 Marejeleo ya Msalaba  

Wa kheri wenye rehema: maana hawo watarehemiwa.


Utusamehe deni zetu, kama sisi tunavyowasamehe wadeni wetu.


Kwa kuwa hukumu ile mhukumuyo, ndiyo mtakayohukumiwa: na kipimo kile mpimacho, ndicho mtakachopimiwa.


Nanyi, killa msimamapo na kusali, sameheni, kama mkiwa na neno juu ya mtu: illi Baba yenu aliye mbinguni awasamehe na ninyi makosa yenu.


msipatilize, nanyi hamtapatilizwa; achilieni, nanyi mtaachiliwa.


tena mwe wafadhili ninyi kwa ninyi, wenye huruma, mkiachiliana, kama na Mungu katika Kristo alivyowaachilia ninyi.


mkichukuliana, na kuachiliana, mtu akiwa na sababu ya kumlaumu mtu; jinsi Kristo alivyowaachilieni, vivyo hivyo na ninyi.


Maana hukumu haina huruma kwake yeye asiyeona huruma. Na huruma hujitukuza juu ya hukumu.


Hivi watoto wa Mungu ni dhahiri, na watoto wa Shetani. Mtu aliye yote asiyefanya haki hatokani na Mungu, wala yeye asiyempenda ndugu yake.


Tufuate:

Matangazo


Matangazo