Biblia Todo Logo
Biblia ya mtandaoni

- Matangazo -




Mathayo 5:47 - New Testament in Swahili (Zanzibar) Revised Edition 1921

47 Tena mkiwaamkia ndugu zenu tu, mnatenda tendo gani la ziyada? Hatta wattoza ushuru, je, nao hawafanyi kama hayo?

Tazama sura Nakili


Matoleo zaidi

Biblia Habari Njema

47 Kama mkiwasalimu ndugu zenu tu, je, mmefanya kitu kisicho cha kawaida? Hata watu wasiomjua Mungu nao hufanya vivyo hivyo.

Tazama sura Nakili

Biblia Habari Njema - BHND

47 Kama mkiwasalimu ndugu zenu tu, je, mmefanya kitu kisicho cha kawaida? Hata watu wasiomjua Mungu nao hufanya vivyo hivyo.

Tazama sura Nakili

Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza

47 Kama mkiwasalimu ndugu zenu tu, je, mmefanya kitu kisicho cha kawaida? Hata watu wasiomjua Mungu nao hufanya vivyo hivyo.

Tazama sura Nakili

Neno: Bibilia Takatifu

47 Nanyi mkiwasalimu ndugu zenu tu, je, mnafanya nini zaidi ya wengine? Je, hata watu wasiomjua Mungu hawafanyi hivyo?

Tazama sura Nakili

Neno: Maandiko Matakatifu

47 Nanyi kama mkiwasalimu ndugu zenu tu, je, mnafanya nini zaidi ya wengine? Je, hata watu wasiomjua Mungu, hawafanyi hivyo?

Tazama sura Nakili




Mathayo 5:47
9 Marejeleo ya Msalaba  

Na mkiingia katika nyumba, isalimuni.


Maana nawaambieni, Haki yenu isipozidi kuliko haki ya waandishi na Mafarisayo, hamtaingia kamwe katika ufalme wa mbinguni.


Maana mkiwapenda wanaowapendani, mwapata thawabu gani? Hatta watoza ushuru, je, nao hawafanyi yayo hayo?


Bassi mwe ninyi wakamilifu, kama Baba yenu wa mbinguni alivyo mkamilifu.


Bassi mkiwajienda wao wawapendao ninyi mna neema gani? Maana hatta wenye dhambi huwapenda wao wawapendao.


Luka, yule tabibu mpendwa, awasalimu, na Dema.


Wasalimuni ndugu walio katika Laodikia, na Numfa, na kanisa lililo katika nyumba yake.


Kwa maana ni sifa gani kuvumilia, mtendapo dhambi na kupigwa makofi? Lakini kuvumilia, mtendapo mema na kupata mateso, huu ndio wema khassa mbele za Mungu.


Tufuate:

Matangazo


Matangazo