Biblia Todo Logo
Biblia ya mtandaoni

- Matangazo -




Mathayo 5:44 - New Testament in Swahili (Zanzibar) Revised Edition 1921

44 bali mimi nawaambieni, Wapendeni adui zenu, wabarikini wanaowalaani, watendeni mema wanaowachukia, waombeeni wanaowatendea ukorofi, na kuwatesa;

Tazama sura Nakili


Matoleo zaidi

Biblia Habari Njema

44 Lakini mimi nawaambieni, wapendeni maadui zenu na kuwaombea wale wanaowadhulumu nyinyi,

Tazama sura Nakili

Biblia Habari Njema - BHND

44 Lakini mimi nawaambieni, wapendeni maadui zenu na kuwaombea wale wanaowadhulumu nyinyi,

Tazama sura Nakili

Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza

44 Lakini mimi nawaambieni, wapendeni maadui zenu na kuwaombea wale wanaowadhulumu nyinyi,

Tazama sura Nakili

Neno: Bibilia Takatifu

44 Lakini ninawaambia: Wapendeni adui zenu, na waombeeni wanaowatesa ninyi,

Tazama sura Nakili

Neno: Maandiko Matakatifu

44 Lakini ninawaambia: Wapendeni adui zenu na waombeeni wanaowatesa ninyi,

Tazama sura Nakili




Mathayo 5:44
21 Marejeleo ya Msalaba  

Yesu akasema, Baba, uwasamehe, kwa maana hawajui watendalo. Wakagawanya nguo zake, wakipiga kura.


Amri mpya nawapeni, mpendane; kama vile nilivyowapenda ninyi, na ninyi mpendane vivyo hivyo.


Paolo akapaaza sauti yake kwa uguvu, akisema, Usijidhuru, kwa maana sisi sote tupo hapa.


Akapiga magoti, akalia kwa sauti kuu, Bwana, usiwahesabie dhambi hii. Akiisha kusema haya akalala.


Wabarikini wanaowafukuzeni; barikini, wala msilaani.


Angalieni mtu awae yote asimlipe mwenziwe mabaya kwa mabaya; bali siku zote lifuateni lililo jema, ninyi kwa ninyi na kwa watu wote.


yeye alipotukanwa, hakurudisha matukano; alipoteswa hakuogofya; bali alijikabidhi kwake yeye ahukumuye kwa haki;


watu wasiolipa baya badala ya baya, au laumu badala ya laumu; bali wabarikio; kwa sababu ndiyo mlioitiwa illi mrithi baraka.


Tufuate:

Matangazo


Matangazo