Biblia Todo Logo
Biblia ya mtandaoni

- Matangazo -




Mathayo 5:41 - New Testament in Swahili (Zanzibar) Revised Edition 1921

41 Na mtu atakaekutumikisha maili moja, nenda nae mbili.

Tazama sura Nakili


Matoleo zaidi

Biblia Habari Njema

41 Mtu akikulazimisha kubeba mzigo wake kilomita moja, ubebe kilomita mbili.

Tazama sura Nakili

Biblia Habari Njema - BHND

41 Mtu akikulazimisha kubeba mzigo wake kilomita moja, ubebe kilomita mbili.

Tazama sura Nakili

Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza

41 Mtu akikulazimisha kubeba mzigo wake kilomita moja, ubebe kilomita mbili.

Tazama sura Nakili

Neno: Bibilia Takatifu

41 Mtu akikulazimisha kwenda maili moja, nenda naye maili mbili.

Tazama sura Nakili

Neno: Maandiko Matakatifu

41 Kama mtu akikulazimisha kwenda maili moja, nenda naye maili mbili.

Tazama sura Nakili




Mathayo 5:41
6 Marejeleo ya Msalaba  

Hatta walipokuwa wakitoka humo, wakakutana na mtu Mkurene, jina lake Simon; huyu wakamtumikisha auchukue msalaba wake.


Na mtu atakae kukushtaki na kuitwaa kanzu yako, mwachie na joho.


Akuombae, mpe; nae atakae kukopa kwako, usimpe kisogo.


Wakamtumikisha mtu aliyekuwa akipita, Simon Mkurene, akitoka mashamba, baba wa Iskander na Rufo, auchukue msalaba wake.


Walipokuwa wakimchukua, wakamshika Mkurene Simon, aliyekuwa akitoka shamba, wakamtwika yeye msalaba, auchukue nyuma yake Yesu.


Maana upendo wa Kristo watulazimisha; maana tumehukumu hivi, ya kwamba ikiwa mmoja alikufa kwa ajili ya wote, bassi walikufa wote;


Tufuate:

Matangazo


Matangazo