Mathayo 5:40 - New Testament in Swahili (Zanzibar) Revised Edition 192140 Na mtu atakae kukushtaki na kuitwaa kanzu yako, mwachie na joho. Tazama suraMatoleo zaidiBiblia Habari Njema40 Mtu akikupeleka mahakamani kutaka kukuchukulia shati lako, mwache achukue pia koti lako. Tazama suraBiblia Habari Njema - BHND40 Mtu akikupeleka mahakamani kutaka kukuchukulia shati lako, mwache achukue pia koti lako. Tazama suraBiblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza40 Mtu akikupeleka mahakamani kutaka kukuchukulia shati lako, mwache achukue pia koti lako. Tazama suraNeno: Bibilia Takatifu40 Mtu akitaka kukushtaki na kuchukua joho lako, mwachie achukue na koti pia. Tazama suraNeno: Maandiko Matakatifu40 Kama mtu akitaka kukushtaki na kuchukua joho lako, mwachie achukue na koti pia. Tazama sura |