Mathayo 5:36 - New Testament in Swahili (Zanzibar) Revised Edition 192136 Wala usiape kwa kichwa chako, maana huwezi kufanya unyele mmoja kuwa mwenpe au mwensi. Tazama suraMatoleo zaidiBiblia Habari Njema36 Wala usiape kwa kichwa chako, maana huwezi kuufanya hata unywele mmoja kuwa mweupe au mweusi. Tazama suraBiblia Habari Njema - BHND36 Wala usiape kwa kichwa chako, maana huwezi kuufanya hata unywele mmoja kuwa mweupe au mweusi. Tazama suraBiblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza36 Wala usiape kwa kichwa chako, maana huwezi kuufanya hata unywele mmoja kuwa mweupe au mweusi. Tazama suraNeno: Bibilia Takatifu36 Nanyi msiape kwa vichwa vyenu, kwa kuwa hamwezi kuufanya hata unywele mmoja kuwa mweupe au mweusi. Tazama suraNeno: Maandiko Matakatifu36 Nanyi msiape kwa vichwa vyenu, kwa kuwa hamwezi kuufanya hata unywele mmoja kuwa mweupe au mweusi. Tazama sura |