Biblia Todo Logo
Biblia ya mtandaoni

- Matangazo -

Mathayo 5:33 - New Testament in Swahili (Zanzibar) Revised Edition 1921

33 Tena mmesikia watu wa kale walivyoambiwa, Usifanye zuli, bali mtimizie Bwana nyapo zako;

Tazama sura Nakili

Matoleo zaidi

Biblia Habari Njema

33 “Tena mmesikia kwamba watu wa kale waliambiwa: ‘Usivunje kiapo chako, bali ni lazima utimize kiapo chako kwa Bwana.’

Tazama sura Nakili

Biblia Habari Njema - BHND

33 “Tena mmesikia kwamba watu wa kale waliambiwa: ‘Usivunje kiapo chako, bali ni lazima utimize kiapo chako kwa Bwana.’

Tazama sura Nakili

Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza

33 “Tena mmesikia kwamba watu wa kale waliambiwa: ‘Usivunje kiapo chako, bali ni lazima utimize kiapo chako kwa Bwana.’

Tazama sura Nakili

Neno: Bibilia Takatifu

33 “Tena mmesikia walivyoambiwa watu wa zamani kwamba, ‘Usiape kwa uongo, bali timiza kiapo kile ulichofanya kwa Mwenyezi Mungu.’

Tazama sura Nakili

Neno: Maandiko Matakatifu

33 “Tena mmesikia walivyoambiwa watu wa zamani kwamba, ‘Usiape kwa uongo, bali timiza kiapo kile ulichofanya kwa Bwana Mwenyezi Mungu.’

Tazama sura Nakili

Mathayo 5:33
15 Marejeleo ya Msalaba  

Mmesikia watu wa kale walivyoanibiwa, Usiue; na mtu akiua, itampasa hukumu.

Mmesikia watu wa kale walivyoambiwa, Usizini:

na wazinzi, na wafiraji, na waibao watu, na wawongo, mi waapao uwongo, na likiwapo neno lo lote linginelo lisilopatana na mafundisho yenye uzima;

Tufuate:

Matangazo

Matangazo