Biblia Todo Logo
Biblia ya mtandaoni

- Matangazo -

Mathayo 5:32 - New Testament in Swahili (Zanzibar) Revised Edition 1921

32 bali mimi nawaambieni, Killa mtu amwachae mkewe, isipokuwa kwa khabari ya asharati, amfanya kuwa mzinzi; na mtu akimwoa yule aliyeachwa, azini.

Tazama sura Nakili

Matoleo zaidi

Biblia Habari Njema

32 Lakini mimi nawaambieni, anayempa mkewe talaka, isipokuwa kwa sababu ya uzinzi, anamfanya azini; na mwanamume akimwoa mwanamke aliyepewa talaka, anazini.

Tazama sura Nakili

Biblia Habari Njema - BHND

32 Lakini mimi nawaambieni, anayempa mkewe talaka, isipokuwa kwa sababu ya uzinzi, anamfanya azini; na mwanamume akimwoa mwanamke aliyepewa talaka, anazini.

Tazama sura Nakili

Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza

32 Lakini mimi nawaambieni, anayempa mkewe talaka, isipokuwa kwa sababu ya uzinzi, anamfanya azini; na mwanamume akimwoa mwanamke aliyepewa talaka, anazini.

Tazama sura Nakili

Neno: Bibilia Takatifu

32 Lakini mimi nawaambia, yeyote amwachaye mkewe isipokuwa kwa kosa la uasherati, amfanya mkewe kuwa mzinzi. Na yeyote amwoaye yule mwanamke aliyeachwa, anazini.

Tazama sura Nakili

Neno: Maandiko Matakatifu

32 Lakini mimi nawaambia, yeyote amwachaye mkewe isipokuwa kwa kosa la uasherati, amfanya mkewe kuwa mzinzi. Na yeyote amwoaye yule mwanamke aliyeachwa, anazini.

Tazama sura Nakili

Mathayo 5:32
12 Marejeleo ya Msalaba  

Bali mimi miwaambieni, Killa mtu atazamae mwanamke kwa kumtamani, amekwisha kuzini nae moyoni mwake.

Killa amwachae mkewe na kumwoa mwingine, amezini; nae amwoae yeye aliyeachwa na mumewe azini.

Na tazama, watu wawili walikuwa wakisemezana nae, nao ni Musa na Eliya,

Sauti ikatoka katika lile wingu ikasema, Huyu ni Mwana wangu, mpendwa wangu, msikieni yeye.

Bassi wakati awapo hayi mume wake, kama akiwa na mume mwingine huitwa mzinzi. Bali mume wake akifa, amekuwa huru, hafungwi na sharia hiyo, hatta yeye si mzinzi, ajapokuwa na mume mwingine.

Mke hana mamlaka juu ya mwili wake, bali mume wake; na vivyo hivyo mume hana mamlaka juu ya mwili wake, bali mke wake.

Tufuate:

Matangazo

Matangazo