Biblia Todo Logo
Biblia ya mtandaoni

- Matangazo -




Mathayo 5:26 - New Testament in Swahili (Zanzibar) Revised Edition 1921

26 Amin, nakuambia, Hutoki humo kamwe hatta uishe kulipa pesa ya mwisho.

Tazama sura Nakili


Matoleo zaidi

Biblia Habari Njema

26 Kweli nakuambia, hutatoka humo mpaka umelipa senti ya mwisho.

Tazama sura Nakili

Biblia Habari Njema - BHND

26 Kweli nakuambia, hutatoka humo mpaka umelipa senti ya mwisho.

Tazama sura Nakili

Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza

26 Kweli nakuambia, hutatoka humo mpaka umelipa senti ya mwisho.

Tazama sura Nakili

Neno: Bibilia Takatifu

26 Amin, nakuambia, hutatoka humo hadi uwe umelipa senti ya mwisho.

Tazama sura Nakili

Neno: Maandiko Matakatifu

26 Amin, nakuambia, hautatoka humo hadi uwe umelipa senti ya mwisho.

Tazama sura Nakili




Mathayo 5:26
10 Marejeleo ya Msalaba  

Videge viwili haviuzwi kwa pesa moja? Na hatta mmoja haanguki chini asijiojua Baba yemi:


Bwana wake akaghadhabika, akampeleka kwa watesaji, hatta atakapoilipa deni ile yote.


Kisha atawaambia na wale walio mkono wake wa kushoto, Ondokeni kwangu, mliolaaniwa, kwenda katika moto wa milele, aliowekewa tayari Shetani na malaika zake:


Na hawo watakwenda zao kuingia katika adhabu ya milele: bali wenye haki katika uzima wa milele.


Akaja mwanamke mmoja, mjane, maskini, akatia sarafu mbili za shaba, kiasi cha nussu pesa.


Bassi, unapofuatana na mshitaki wako kwenda kwa liwali, njiani ujitahidi kupatanishwa nae: asije akakukokota mbele ya kadhi, yule kadhi akakutia katika mikono ya askari, yule askari akakutupa gerezani.


Nakuambia, Hutoki humo kabisa hatta uishe kulipa roho pesa ya mwisho.


Na zaidi ya haya yote, kati yetu sisi na ninyi lipo shimo kuhwa limewekwa, hatta watu watakao kutoka huku wasiweze kuja kwenu, wala wale wa huko wasivuke kuja kwetu.


watakaoadhibiwa kwa uharibifu wa milele, kutengwa na uso wa Bwana na na utukufu wa nguvu zake,


Maana hukumu haina huruma kwake yeye asiyeona huruma. Na huruma hujitukuza juu ya hukumu.


Tufuate:

Matangazo


Matangazo