Biblia Todo Logo
Biblia ya mtandaoni

- Matangazo -




Mathayo 5:17 - New Testament in Swahili (Zanzibar) Revised Edition 1921

17 Msidhani ya kuwa nalikuja kuitangua torati au manabii; la, sikuja kutangua, bali kutimiliza.

Tazama sura Nakili


Matoleo zaidi

Biblia Habari Njema

17 “Msidhani kuwa nimekuja kutangua sheria na mafundisho ya manabii. Sikuja kutangua bali kukamilisha.

Tazama sura Nakili

Biblia Habari Njema - BHND

17 “Msidhani kuwa nimekuja kutangua sheria na mafundisho ya manabii. Sikuja kutangua bali kukamilisha.

Tazama sura Nakili

Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza

17 “Msidhani kuwa nimekuja kutangua sheria na mafundisho ya manabii. Sikuja kutangua bali kukamilisha.

Tazama sura Nakili

Neno: Bibilia Takatifu

17 “Msidhani kwamba nimekuja kufuta Torati au Manabii; sikuja kuondoa bali kutimiza.

Tazama sura Nakili

Neno: Maandiko Matakatifu

17 “Msidhani kwamba nimekuja kufuta Torati au Manabii; sikuja kuondoa bali kutimiza.

Tazama sura Nakili




Mathayo 5:17
16 Marejeleo ya Msalaba  

Yesu akajibu, akamwambia, Hayo yaache sasa: kwa kuwa hivi imetupasa kutimiza haki yote. Bassi akamwacha.


Bassi yo yote mtakayo kutendewa na watu, nanyi mwatendee vivyo hivyo: maana hiyo ndiyo torati na manabii.


Lakini ni vyepesi zaidi mbingu na inchi vitoweke kuliko nukta moja ya torati itanguke.


Bassi katika torati Musa alituamuru kuwapiga mawe watu kama hao; bassi wewe wasema nini?


wakisema, Mtu huyu huwavuta watu illi wamwabudu Mungu kinyume cha sharia yetu.


Huyu ndiye mtu yule afundishae watu katika killa mahali kinyume cha taifa letu na torati na pahali hapa. Tena, zaidi ya haya, amewaingiza Wayunani katika hekalu, akapatia najis pahali hapa palakatifu.


Wakasimamisha mashahidi wa uwongo waliosema, Mtu huyu haachi kusema maneno ya kufuru juu ya mahali hapa patakatifu na juu ya torati:


Kwa maana Kristo ni mwisho wa sharia, illi killa aaminiye apate haki.


Bassi, je! twaibatilisha sharia kwa imani hiyo? Hasha! kinyume cha hayo twaithubutisha sharia.


illi wema uagizwao na torati utimizwe ndani yetu, tusioenenda kwa kufuata mambo ya mwili, bali mambo ya roho.


Tufuate:

Matangazo


Matangazo