Biblia Todo Logo
Biblia ya mtandaoni

- Matangazo -




Mathayo 5:15 - New Testament in Swahili (Zanzibar) Revised Edition 1921

15 Wala watu hawawashi taa na kuiweka chini ya kibaba, bali juu ya kibao cha kuwekea taa; nayo yaangaza wote waliomo nyumbani.

Tazama sura Nakili


Matoleo zaidi

Biblia Habari Njema

15 Wala watu hawawashi taa na kuifunika kwa debe, ila huiweka juu ya kinara ili iwaangazie wote waliomo nyumbani.

Tazama sura Nakili

Biblia Habari Njema - BHND

15 Wala watu hawawashi taa na kuifunika kwa debe, ila huiweka juu ya kinara ili iwaangazie wote waliomo nyumbani.

Tazama sura Nakili

Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza

15 Wala watu hawawashi taa na kuifunika kwa debe, ila huiweka juu ya kinara ili iwaangazie wote waliomo nyumbani.

Tazama sura Nakili

Neno: Bibilia Takatifu

15 Wala watu hawawashi taa na kuifunika kwa bakuli. Badala yake, huiweka kwenye kinara chake, nayo hutoa mwanga kwa kila mtu aliye ndani ya ile nyumba.

Tazama sura Nakili

Neno: Maandiko Matakatifu

15 Wala watu hawawashi taa na kuifunika kwa bakuli. Badala yake, huiweka kwenye kinara chake, nayo hutoa mwanga kwa kila mtu aliyemo ndani ya ile nyumba.

Tazama sura Nakili




Mathayo 5:15
10 Marejeleo ya Msalaba  

Akawaambia, Mwaonaje? Taa huletwa illi kutiwa ehini ya kikapu, au ehini ya kitanda? si kutiwa juu ya kibao cha kuwekea taa?


Hapana mtu awashae taa na kuiweka mahali pa siri au chini va pishi, bali huiweka juu ya kibao cha kuwekea taa: illi waingiao wanone mwanga.


Bassi, kama mwili wako wote nna nuru, tena kama hanna sehemu iliyo na giza, mwili wako utakuwa na nuru kabisa kama vile taa ikumulikiavyo kwa mwangaza wake.


Hakuna mtu awashae taa na kuifunika kwa chombo au kuiweka mvunguni, bali huiweka juu ya kibao cha kuwekea faa, illi waingiao wauone mwanga.


mpate kuwa wana wa Mungu wasio na lawama, wala ndanganyifu, wasio na ila kati ya kizazi chenye ukaidi, na kilichopotoka; kati ya hao mnaonekana kuwa kama mianga katika ulimwengu, mkishika neno la uzima;


Maana khema ilitengenezwa, ile ya kwanza, mlimokuwa na taa, na meza, na mikate iliyotolewa kwa Mungu; palipoitwa, Patakatifu.


Bassi, kumbuka ulikoanguka, nkatubu, ukayatende matendo ya kwanza. Lakini, usipotenda hivyo, naja kwako upesi, nitaondoa kinara chako katika mahali pake, usipotubu.


Tufuate:

Matangazo


Matangazo