Biblia Todo Logo
Biblia ya mtandaoni

- Matangazo -




Mathayo 5:14 - New Testament in Swahili (Zanzibar) Revised Edition 1921

14 Ninyi ni nuru ya ulimwengu. Mji hauwezi kustirika ukiwa juu ya mlima.

Tazama sura Nakili


Matoleo zaidi

Biblia Habari Njema

14 “Nyinyi ni mwanga wa ulimwengu! Mji uliojengwa juu ya mlima hauwezi kufichika.

Tazama sura Nakili

Biblia Habari Njema - BHND

14 “Nyinyi ni mwanga wa ulimwengu! Mji uliojengwa juu ya mlima hauwezi kufichika.

Tazama sura Nakili

Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza

14 “Nyinyi ni mwanga wa ulimwengu! Mji uliojengwa juu ya mlima hauwezi kufichika.

Tazama sura Nakili

Neno: Bibilia Takatifu

14 “Ninyi ni nuru ya ulimwengu. Mji uliojengwa kilimani hauwezi kufichika.

Tazama sura Nakili

Neno: Maandiko Matakatifu

14 “Ninyi ni nuru ya ulimwengu. Mji uliojengwa kilimani hauwezi kufichika.

Tazama sura Nakili




Mathayo 5:14
16 Marejeleo ya Msalaba  

Maadam mnayo nuru, iaminini nuru, mpate kuwa wana wa nuru. Hayo aliyasema Yesu, akaenda zake akajificha nao.


Yeye alikuwa taa iwakayo na kuangaza, na ninyi mlipenda kuishangilia nuru yake kitambo.


Bassi Yesu akanena nao tena, akisema. Mimi ni nuru ya ulimwengu; anifuatae hatakwenda katika giza kamwe, bali atakuwa na nuru ya uzima.


Maadam nipo ulimwenguni, mimi ni nuru ya ulimwengu.


Msifungiwe kongwa pamoja na wasioamini, wasio na tabia kama zenu; kwa maana pana shirika gani kati ya haki na uasi? tena pana shirika gani kati ya nuru na giza?


mpate kuwa wana wa Mungu wasio na lawama, wala ndanganyifu, wasio na ila kati ya kizazi chenye ukaidi, na kilichopotoka; kati ya hao mnaonekana kuwa kama mianga katika ulimwengu, mkishika neno la uzima;


Maana ninyi nyote wana wa nuru, na wana wa mchana; sisi hatuwi wa usiku, wala wa giza.


Siri ya zile nyota saba ulizoziona katika mkono wangu wa kuume, na ya vile vinara saba vya dhababu. Zile nyota saba ni malaika wa yale makanisa saba, na vile vinara saba ulivyoviona ni makanisa saba.


Bassi, kumbuka ulikoanguka, nkatubu, ukayatende matendo ya kwanza. Lakini, usipotenda hivyo, naja kwako upesi, nitaondoa kinara chako katika mahali pake, usipotubu.


Tufuate:

Matangazo


Matangazo