Biblia Todo Logo
Biblia ya mtandaoni

- Matangazo -




Mathayo 4:7 - New Testament in Swahili (Zanzibar) Revised Edition 1921

7 Yesu akamwambia. Tena imeandikwa, Usimjaribu Bwana Mungu wako.

Tazama sura Nakili


Matoleo zaidi

Biblia Habari Njema

7 Yesu akamwambia, “Imeandikwa pia: ‘Usimjaribu Bwana, Mungu wako.’”

Tazama sura Nakili

Biblia Habari Njema - BHND

7 Yesu akamwambia, “Imeandikwa pia: ‘Usimjaribu Bwana, Mungu wako.’”

Tazama sura Nakili

Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza

7 Yesu akamwambia, “Imeandikwa pia: ‘Usimjaribu Bwana, Mungu wako.’”

Tazama sura Nakili

Neno: Bibilia Takatifu

7 Isa akamjibu, “Pia imeandikwa: ‘Usimjaribu Mwenyezi Mungu, Mungu wako.’”

Tazama sura Nakili

Neno: Maandiko Matakatifu

7 Isa akamjibu, “Pia imeandikwa: ‘Usimjaribu Bwana Mwenyezi Mungu wako.’ ”

Tazama sura Nakili




Mathayo 4:7
21 Marejeleo ya Msalaba  

wakamwambia, Wasikia hawa wanenavyo? Yesu akawaambia, Naam; hamkupata kusoma, Kwa vinywa vya watoto wachanga na wanyonyao umekamilisha sifa?


Yesu akawaambia, Hamkupata kusoma katika maandiko, Jiwe walilolikataa waashi, Hili lilikuwa jiwe kuu la pembeni; Neno hili limetoka kwa Bwana, Nalo ni ajabu machoni petu?


Ndipo Yesu akamwambia, Nenda zako, Shetani: kwa maana imeandikwa, Utamsujudia Bwana Mungu wako, nae peke yake utamwabudu.


Akajibu akasema, Imeandikwa, Mtu hataishi kwa mkate tu, illa kwa killa neno litokalo katika kinywa cha Mungu.


Yesu akajibu akamwambia, Imenenwa, Usimjaribu Bwana Mungu wako.


Bassi sasa mbona mnamjaribu Mungu na kuweka nira juu ya shingo za wanafunzi, ambayo baba zetu na sisi hatukuweza kuichukua.


Petro akamwambia, Hikuwaje hatta mkapatana kumjaribu Roho ya Bwana? angalia, miguu yao waliomzika mume wako ipo mlangoni, nao watakuchukua wewe nawe.


Wala tusimjaribii Bwana, kama wengine wao walivyomjaribu, wakaharibiwa na nyoka.


hapo baba zenu waliponijaribu, wakanipima, wakaona matendo yangu miaka arubaini.


Tufuate:

Matangazo


Matangazo