Mathayo 4:6 - New Testament in Swahili (Zanzibar) Revised Edition 19216 Ukiwa ndiwe Mwana wa Mungu, jitupe chini: kwa maana imeandikwa, Atakuagizia malaika zake: Mikononi mwao watakuchukua, Usije ukajikwaa mguu wako katika jiwe. Tazama suraMatoleo zaidiBiblia Habari Njema6 akamwambia, “Ikiwa wewe ni Mwana wa Mungu, jitupe chini; maana imeandikwa: ‘Mungu atawaamuru malaika wake kwa ajili yako; watakuchukua mikononi mwao, usije ukajikwaa kwenye jiwe.’” Tazama suraBiblia Habari Njema - BHND6 akamwambia, “Ikiwa wewe ni Mwana wa Mungu, jitupe chini; maana imeandikwa: ‘Mungu atawaamuru malaika wake kwa ajili yako; watakuchukua mikononi mwao, usije ukajikwaa kwenye jiwe.’” Tazama suraBiblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza6 akamwambia, “Ikiwa wewe ni Mwana wa Mungu, jitupe chini; maana imeandikwa: ‘Mungu atawaamuru malaika wake kwa ajili yako; watakuchukua mikononi mwao, usije ukajikwaa kwenye jiwe.’” Tazama suraNeno: Bibilia Takatifu6 akamwambia, “Ukiwa ndiwe Mwana wa Mungu, jitupe chini. Kwa kuwa imeandikwa: “ ‘Atakuagizia malaika wake, nao watakuchukua mikononi mwao ili usije ukajikwaa mguu wako katika jiwe.’” Tazama suraNeno: Maandiko Matakatifu6 akamwambia, “Kama wewe ndiwe Mwana wa Mungu, jitupe chini. Kwa kuwa imeandikwa: “ ‘Atakuagizia malaika zake, nao watakuchukua mikononi mwao ili usije ukajikwaa mguu wako katika jiwe.’ ” Tazama sura |