Biblia Todo Logo
Biblia ya mtandaoni

- Matangazo -




Mathayo 4:5 - New Testament in Swahili (Zanzibar) Revised Edition 1921

5 Kisha Shetani akamchukua hatta mji mtakatifu, akamweka juu ya mnara wa hekalu, akamwambia,

Tazama sura Nakili


Matoleo zaidi

Biblia Habari Njema

5 Kisha Ibilisi akamchukua mpaka Yerusalemu, mji mtakatifu, akamweka juu ya mnara wa hekalu,

Tazama sura Nakili

Biblia Habari Njema - BHND

5 Kisha Ibilisi akamchukua mpaka Yerusalemu, mji mtakatifu, akamweka juu ya mnara wa hekalu,

Tazama sura Nakili

Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza

5 Kisha Ibilisi akamchukua mpaka Yerusalemu, mji mtakatifu, akamweka juu ya mnara wa hekalu,

Tazama sura Nakili

Neno: Bibilia Takatifu

5 Ndipo ibilisi akampeleka Isa hadi mji mtakatifu na kumweka juu ya mnara mrefu wa Hekalu,

Tazama sura Nakili

Neno: Maandiko Matakatifu

5 Ndipo ibilisi akamchukua Isa mpaka mji mtakatifu na kumweka juu ya mnara mrefu wa Hekalu,

Tazama sura Nakili




Mathayo 4:5
11 Marejeleo ya Msalaba  

nao wakiisha kutoka makaburini, baada ya kufufuka kwake, wakaingia mji mtakatifu, wakawatokea wengi.


Akamwongoza hatta Yerusalemi, akamweka juu ya ukumbi wa hekalu, akamwambia, Ukiwa ndiwe Mwana wa Mungu, jitupe chini, toka huku:


Yesu akamjibu, Usingekuwa na mamlaka yo yote, kama usingepewa toka juu: kwa sababu hii yeye aliyenitia mikononi mwako yuna dhambi iliyo kubwa zaidi.


Na behewa iliyo nje ya hekalu uitupe nje wala usiipime, kwa maana mataifa wamepewa hiyo, nao wataukanyaga mji mtakatifu miezi arubaini na miwili.


Tufuate:

Matangazo


Matangazo