Biblia Todo Logo
Biblia ya mtandaoni

- Matangazo -




Mathayo 4:25 - New Testament in Swahili (Zanzibar) Revised Edition 1921

25 Makutano mengi wakamfuata, wakitoka Galilaya, na Dekapoli, na Yerusalemi, na Yahudi, na ngʼambu ya Yordani.

Tazama sura Nakili


Matoleo zaidi

Biblia Habari Njema

25 Makundi mengi ya watu kutoka Galilaya, Dekapoli, Yerusalemu, Yudea na ngambo ya mto Yordani, yalimfuata.

Tazama sura Nakili

Biblia Habari Njema - BHND

25 Makundi mengi ya watu kutoka Galilaya, Dekapoli, Yerusalemu, Yudea na ngambo ya mto Yordani, yalimfuata.

Tazama sura Nakili

Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza

25 Makundi mengi ya watu kutoka Galilaya, Dekapoli, Yerusalemu, Yudea na ng'ambo ya mto Yordani, yalimfuata.

Tazama sura Nakili

Neno: Bibilia Takatifu

25 Makundi makubwa ya watu yakawa yanamjia kutoka Galilaya, Dekapoli, Yerusalemu, Yudea, na kutoka ng’ambo ya Yordani.

Tazama sura Nakili

Neno: Maandiko Matakatifu

25 Makutano makubwa ya watu yakawa yanamjia kutoka Galilaya, Dekapoli, Yerusalemu, Uyahudi na kutoka ng’ambo ya Mto Yordani.

Tazama sura Nakili




Mathayo 4:25
11 Marejeleo ya Msalaba  

Nae Yesu akijua haya akatoka huko: makutano mengi wakamfuata; akawaponya wote,


Makutano mengi wakamfuata, akawaponya huko.


Inchi ya Zabulon na inchi ya Nafthalim, Njia ya bahari ngʼambu ya Yordani, Galilaya ya mataifa,


NAE akivaona makutano, akapanda mlimani; na alipokwisha kuketi, wanafunzi wake wakamjia;


ALIPOSHUKA mlimani, makutano mengi walimfuata.


Akaenda zake, akaanza kukhubiri katika Dekapoli, ni mambo gani makuu Yesu aliyomtendea; watu wote wakataajabu.


Ilipokuwa sabato, akaanza kufundisha katika sunagogi: wengi wakisikia, wakashangaa, akinena, Huyu amepata wapi haya? Na, Hekima gani hii aliyopewa huyu, na nini miujiza hii mikubwa inayotendeka kwa mikono yake?


Akatoka tena katika mipaka ya Turo akapita katikati ya Sidon, akaenda hatta bahari ya Galilaya, kati ya mipaka ya Dekapoli.


Akatelemka pamoja nao, akasimama panapo uwanda, pamoja na kundi la wanafunzi wake, na kundi la watu waliotoka Yahudi wote, na Yerusalemi, na pwani ya Turo na Sidon, waliokuja wamsikilize na kuponywa maradhi zao;


Makutano yote wakatafuta kumgusa: kwa maana nguvu zilikuwa zikimtoka, zikawaponya wote.


Tufuate:

Matangazo


Matangazo