Biblia Todo Logo
Biblia ya mtandaoni

- Matangazo -




Mathayo 4:22 - New Testament in Swahili (Zanzibar) Revised Edition 1921

22 Marra wakakiacha chombo na baba yao, wakamfuata.

Tazama sura Nakili


Matoleo zaidi

Biblia Habari Njema

22 nao mara wakaiacha mashua pamoja na baba yao, wakamfuata.

Tazama sura Nakili

Biblia Habari Njema - BHND

22 nao mara wakaiacha mashua pamoja na baba yao, wakamfuata.

Tazama sura Nakili

Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza

22 nao mara wakaiacha mashua pamoja na baba yao, wakamfuata.

Tazama sura Nakili

Neno: Bibilia Takatifu

22 Nao mara moja wakaiacha mashua yao, pamoja na baba yao, wakamfuata.

Tazama sura Nakili

Neno: Maandiko Matakatifu

22 Nao mara wakaiacha mashua yao, pamoja na baba yao, wakamfuata.

Tazama sura Nakili




Mathayo 4:22
10 Marejeleo ya Msalaba  

Apendae baba au mama kuliko mimi, hanifai; na apendae mwana au binti kuliko mimi hanifai.


Akaendelea mbele, akaona ndugu wengine wawili. Yakob wa Zebedayo, na Yohana ndugu yake, walikuwa katika chombo pamoja na Zebedayo baba yao, wakitengeneza nyavu zao; akawaita.


Yesu akazunguka katika Galilaya yote, akifundisha katika sunagogi zao, na kuikhubiri injili ya ufalme, na kuponya ugonjwa na udhaifu wa killi namna katika watu.


Marra akawaita: wakamwacha baba yao Zebedayo ndani ya chombo pamoja na watu wa mshahara, wakaenda, wakamfuata.


Mtu akija kwangu, nae hamehukii baba yake, na mama yake, na mke wake, na wanawe, na ndugu zake wanaume na wanawake, na uzima wake pia, hawezi kuwa mwanafunzi wangu.


Bassi, kadhalika killa mmoja wenu asiyeviacha vitu vyote alivyo navyo hawezi kuwa mwanafunzi wangu.


Na walipoleta vyombo pwani, wakaacha vyote wakamfuata.


Hatta imekuwa, sisi tangu sasa hatumjui mtu awae yote kwa jinsi ya mwili. Ingawa sisi tumemjua Kristo kwa jinsi ya mwili, sasa lakini hatumjui hivi tena.


Tufuate:

Matangazo


Matangazo