Mathayo 4:16 - New Testament in Swahili (Zanzibar) Revised Edition 192116 Watu waliokaa gizani Waliona mwanga mkuu, Nao waliokaa katika inchi na kivuli cha mauti, Mwanga umewazukia. Tazama suraMatoleo zaidiBiblia Habari Njema16 Watu waliokaa gizani wameona mwanga mkubwa. Nao walioishi katika nchi ya giza na kivuli cha kifo, mwanga umewaangazia!” Tazama suraBiblia Habari Njema - BHND16 Watu waliokaa gizani wameona mwanga mkubwa. Nao walioishi katika nchi ya giza na kivuli cha kifo, mwanga umewaangazia!” Tazama suraBiblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza16 Watu waliokaa gizani wameona mwanga mkubwa. Nao walioishi katika nchi ya giza na kivuli cha kifo, mwanga umewaangazia!” Tazama suraNeno: Bibilia Takatifu16 watu wale waliokaa gizani wameona nuru kuu; nao wale walioishi katika nchi ya uvuli wa mauti, nuru imewazukia.” Tazama suraNeno: Maandiko Matakatifu16 watu wale waliokaa gizani wameona nuru kuu; nao wale walioishi katika nchi ya uvuli wa mauti, nuru imewazukia.” Tazama sura |