Biblia Todo Logo
Biblia ya mtandaoni

- Matangazo -




Mathayo 4:13 - New Testament in Swahili (Zanzibar) Revised Edition 1921

13 akatoka Nazareti, akaenda, akakaa Kapernaum, ulioko pwani, mipakani mwa Zabulon na Nafthalim:

Tazama sura Nakili


Matoleo zaidi

Biblia Habari Njema

13 Aliondoka Nazareti, akaenda Kafarnaumu, mji ulio kando ya bahari ya Genesareti, mpakani mwa wilaya za Zebuluni na Naftali, akakaa huko.

Tazama sura Nakili

Biblia Habari Njema - BHND

13 Aliondoka Nazareti, akaenda Kafarnaumu, mji ulio kando ya bahari ya Genesareti, mpakani mwa wilaya za Zebuluni na Naftali, akakaa huko.

Tazama sura Nakili

Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza

13 Aliondoka Nazareti, akaenda Kafarnaumu, mji ulio kando ya bahari ya Genesareti, mpakani mwa wilaya za Zebuluni na Naftali, akakaa huko.

Tazama sura Nakili

Neno: Bibilia Takatifu

13 Akaondoka Nasiri akaenda kuishi Kapernaumu, mji ulio karibu na bahari, katika nchi ya Zabuloni na Naftali,

Tazama sura Nakili

Neno: Maandiko Matakatifu

13 Akaondoka Nasiri akaenda kuishi Kapernaumu, mji ulioko karibu na bahari, katika mipaka ya nchi ya Zabuloni na Naftali,

Tazama sura Nakili




Mathayo 4:13
17 Marejeleo ya Msalaba  

Nawe Kapernaum, uliyeinuliwa hatta mbinguni, utashushwa hatta kuzimu: kwa maana kama miujiza iliyofanyika kwako, ingalifanyika katika Sodom, ungalikuwapo hatta leo.


Hatta walipofika Kapernaum, wale watozao nussu shekeli wakamwendea Petro, wakasema, Je! Mwalimu wenu hatoi nussu shekeli?


illi litimie neno lililonenwa na Nabii Isaya, akisema,


Inchi ya Zabulon na inchi ya Nafthalim, Njia ya bahari ngʼambu ya Yordani, Galilaya ya mataifa,


AKAPANDA chomboni, akavuka, akafika mjini kwake.


Wakashika njia hatta Kapernaum; na siku ya sabato akaingia sunagogi, akafundisha.


AKAINGIA Kapernaum tena, baada ya siku kadha wa kadha, ikasikiwa ya kwamba yumo nyumbani.


Nawe Kapernaum, wewe uliyeinuliwa hatta mhinguni, ntashushwa hatta kuzimu.


Akawaambia, Hapana shaka mtaniambia methali hii, Tabibu, jiponye nafsi yako: mambo yote tuliyosikia yametendeka Kapernaum, yatende na hapa pia katika inchi yako mwenyewe.


Baada ya haya akashuka hatta Kapernaum, yeye na mama yake na ndugu zake na wanafunzi wake: wakakaa huko siku chache.


Bassi akafika tena Kana ya Galilaya, hapo alipofanya maji kuwa divai. Na palikuwa na diwani mmoja, ana mwana hawezi Kapernaum.


wakapanda chomboni wakaanza kuivuka bahari kwenda Kapernaum. Na giza imekwisha kuwa, nae Yesu hajawafikia.


bassi makutano walipoona ya kuwa Yesu hakuwako huko wala wanafunzi wake, wenyewe wakaingla vyomboni, wakaenda Kapernaum wakimtafuta Yesu.


Maneno haya aliyasema sunagogini, alipokuwa akifundisha huko Kapenaum.


Tufuate:

Matangazo


Matangazo