Biblia Todo Logo
Biblia ya mtandaoni

- Matangazo -




Mathayo 4:12 - New Testament in Swahili (Zanzibar) Revised Edition 1921

12 Yesu aliposikia ya kwamba Yohana amefungwa, akaenda zake hatta Galilaya;

Tazama sura Nakili


Matoleo zaidi

Biblia Habari Njema

12 Yesu aliposikia kwamba Yohane ametiwa gerezani alikwenda Galilaya.

Tazama sura Nakili

Biblia Habari Njema - BHND

12 Yesu aliposikia kwamba Yohane ametiwa gerezani alikwenda Galilaya.

Tazama sura Nakili

Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza

12 Yesu aliposikia kwamba Yohane ametiwa gerezani alikwenda Galilaya.

Tazama sura Nakili

Neno: Bibilia Takatifu

12 Isa aliposikia kwamba Yahya alikuwa amefungwa gerezani, alirudi Galilaya.

Tazama sura Nakili

Neno: Maandiko Matakatifu

12 Isa aliposikia kwamba Yahya alikuwa ametiwa gerezani, alirudi Galilaya.

Tazama sura Nakili




Mathayo 4:12
13 Marejeleo ya Msalaba  

Nae Yohana aliposikia huko gerezani matendo yake Kristo, alituma wawili katika wanafunzi wake, kumwambia,


Maana Herode alikuwa amemkamata Yohana, akamfunga, akamtia gerezani, kwa ajili ya Herodias, mke wa Filipo ndugu yake.


Hatta baada ya Yohana kutiwa gerezani, Yesu akaenda Galilaya, akiikhubiri injili ya ufalme wa Mungu,


Kwa maana Herode mwenyewe alikuwa ametuma wata, akamkamata Yohana, akamfunga gerezani, kwa ajili va Herodias, nikewe Filipo ndugu yake: kwa kuwa amemwoa; bassi Yohana alimwambia Herode,


Nao wakamshurutisha, wakisema, Awataharakisha watu, akifundisha katika Yahudi yote, akianzia Galilaya hatta hapa.


akaongeza na hili jun ya yote, alimfunga Yohana gerezani.


Yesu akarudi kwa nguvu za Roho hatta Galilaya, khabari zake zikaenea katika inchi yote iliyo kando kando.


Akashukia Kapernaum, mji wa Galilaya, akawa akifundisha siku ya sabato:


Siku ya pili yake Yesu akataka kuondoka kwenda Galilaya, akamwona Filipo, akamwambia, Nifuate.


Mwanzo huu wa ishara Yesu alifanya Kana ya Galilaya, akauonyesha utukufu wake, wanafunzi wake wakamwamini.


Maana Yohana alikuwa hajatiwa gerezani.


Baada ya siku hizo mbili akaondoka huko, akaenda Galilaya.


Na hii ni isharaya pili aliyoifanya Yesu, alipotoka Yahudi kwenda Galilaya.


Tufuate:

Matangazo


Matangazo