Biblia Todo Logo
Biblia ya mtandaoni

- Matangazo -




Mathayo 4:1 - New Testament in Swahili (Zanzibar) Revised Edition 1921

1 NDIPO Yesu alipopandishwa na Roho hatta jangwani, illi ajaribiwe na Shetani.

Tazama sura Nakili


Matoleo zaidi

Biblia Habari Njema

1 Kisha Roho alimwongoza Yesu mpaka jangwani ili ajaribiwe na Ibilisi.

Tazama sura Nakili

Biblia Habari Njema - BHND

1 Kisha Roho alimwongoza Yesu mpaka jangwani ili ajaribiwe na Ibilisi.

Tazama sura Nakili

Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza

1 Kisha Roho alimwongoza Yesu mpaka jangwani ili ajaribiwe na Ibilisi.

Tazama sura Nakili

Neno: Bibilia Takatifu

1 Kisha Isa akaongozwa na Roho Mtakatifu wa Mungu hadi nyikani ili ajaribiwe na ibilisi.

Tazama sura Nakili

Neno: Maandiko Matakatifu

1 Kisha Isa akaongozwa na Roho wa Mwenyezi Mungu kwenda nyikani ili akajaribiwe na ibilisi.

Tazama sura Nakili




Mathayo 4:1
18 Marejeleo ya Msalaba  

Sitasema nanyi maneno mengi tena, kwa maana mkuu wa ulimwengu anakuja, wala hana kitu kwangu:


Kiisha, walipotoka majini, Roho ya Bwana ikamnyakua Filipo, yule tawashi asimwone tena; maana alikwenda zake akifurahi:


Kwa kuwa wote wanaoongozwa na Roho ya Mungu, hao ndio wana wa Mungu.


Na kwa kuwa aliteswa alipojaribiwa, aweza kuwasaidia wao wanaojaribiwa.


Lakini killa mmoja hujaribiwa akivutwa na kudanganywa na tamaa yake mwenyewe.


Tufuate:

Matangazo


Matangazo