Biblia Todo Logo
Biblia ya mtandaoni

- Matangazo -




Mathayo 3:8 - New Testament in Swahili (Zanzibar) Revised Edition 1921

8 Zaeni bassi matunda yaipasayo toba;

Tazama sura Nakili


Matoleo zaidi

Biblia Habari Njema

8 Onesheni kwa vitendo kwamba mmetubu.

Tazama sura Nakili

Biblia Habari Njema - BHND

8 Onesheni kwa vitendo kwamba mmetubu.

Tazama sura Nakili

Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza

8 Onesheni kwa vitendo kwamba mmetubu.

Tazama sura Nakili

Neno: Bibilia Takatifu

8 Basi zaeni matunda yastahiliyo toba.

Tazama sura Nakili

Neno: Maandiko Matakatifu

8 Basi zaeni matunda yastahiliyo toba.

Tazama sura Nakili




Mathayo 3:8
16 Marejeleo ya Msalaba  

Kwa sababu Yohana alikuja kwenu kwa njia ya haki, nanyi hamkumwamini; lakini watoza ushuru na makahaha walimwamini: nanyi mlipoona, hamkutuhu haada ya haya, na kumwamini.


Zaeni, bassi, matunda yapatanayo na toba wala msianze kusema ndani ya nafsi zenu, Tunae baba ndiye Ibrahimu; kwa maana nawaambieni, ya kwamba Mungu katika mawe haya aweza kumwinulia Ibrahimu watoto.


hali kwanza niliwakhubiri wale wa Dameski na Yerusalemi, na katika inchi yote ya Yahudi, na watu wa mataifa, watubu wakamwelekee Mungu, wakiyatenda matendo yanayopatana na kutubu kwao.


Kwa maana zamani mlikuwa giza, bali sasa nuru katika Bwana; enendeni kama watoto wa nuru;


(kwa kuwa tunda la nura ni katika wema wote na haki na kweli);


mmejazwa matuuda ya haki, kwa njia ya Yesu Kristo, kwa utukufu na sifa ya Mungu.


Tufuate:

Matangazo


Matangazo