Biblia Todo Logo
Biblia ya mtandaoni

- Matangazo -




Mathayo 3:5 - New Testament in Swahili (Zanzibar) Revised Edition 1921

5 Ndipo wakamwendea Yerusalemi, na Yahudi yote, na inchi zote za kando za Yordani;

Tazama sura Nakili


Matoleo zaidi

Biblia Habari Njema

5 Basi, watu kutoka Yerusalemu, kutoka pande zote za Yudea na sehemu zote za kandokando ya mto Yordani, walimwendea,

Tazama sura Nakili

Biblia Habari Njema - BHND

5 Basi, watu kutoka Yerusalemu, kutoka pande zote za Yudea na sehemu zote za kandokando ya mto Yordani, walimwendea,

Tazama sura Nakili

Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza

5 Basi, watu kutoka Yerusalemu, kutoka pande zote za Yudea na sehemu zote za kandokando ya mto Yordani, walimwendea,

Tazama sura Nakili

Neno: Bibilia Takatifu

5 Watu walikuwa wakimwendea kutoka Yerusalemu, Yudea yote na nchi zote za kandokando ya Mto Yordani.

Tazama sura Nakili

Neno: Maandiko Matakatifu

5 Watu walikuwa wakimwendea kutoka Yerusalemu, Uyahudi yote na nchi zote za kandokando ya Mto Yordani.

Tazama sura Nakili




Mathayo 3:5
9 Marejeleo ya Msalaba  

ALIPOZALIWA Yesu katika Bethlehemu ya Yahudi zamani za mfalme Herode, majusi wa mashariki walifika Yerusalemi,


Makutano mengi wakamfuata, wakitoka Galilaya, na Dekapoli, na Yerusalemi, na Yahudi, na ngʼambu ya Yordani.


Wakamwendea inchi yote ya Yahudi, nao wa Yerusalemi, wakabatizwa nae katika mto Yardani, wakiziungama dhambi zao.


Torati na manabii zilikuwako mpaka Yohana. Tangu wakati ule, khabari njema ya ufalme wa Mungu inakhubiriwa, na killa mtu anauingia kwa nguvu.


Akalika inchi yote iliyo kando ya Yardani, akikhuhiri ubatizo wa toba liletalo ondoleo la dhambi,


Bassi akawaambia makutano waliotokea illi kubatizwa nae, Enyi uzao wa nyoka, ni nani aliyewaonya kuikimbia ghadhabu itakayokuja?


Yohana nae alikuwa akibatiza huko Ainon, karibu na Salim, kwa sababu palikuwa na maji tele; watu wakamwendea wakabatizwa.


Yeye alikuwa taa iwakayo na kuangaza, na ninyi mlipenda kuishangilia nuru yake kitambo.


Tufuate:

Matangazo


Matangazo