Biblia Todo Logo
Biblia ya mtandaoni

- Matangazo -

Mathayo 3:3 - New Testament in Swahili (Zanzibar) Revised Edition 1921

3 Kwa sababu huyo ndiye aliyenenwa na nabii Isaya, akisema, Sauti yake apigae mbin jangwani, Itengenezeni njia ya Bwana, Nyosheni mapito yake.

Tazama sura Nakili

Matoleo zaidi

Biblia Habari Njema

3 Huyu Yohane ndiye yule ambaye nabii Isaya alinena juu yake aliposema: “Sauti ya mtu anaita jangwani: ‘Mtayarishieni Bwana njia yake, nyosheni barabara zake.’”

Tazama sura Nakili

Biblia Habari Njema - BHND

3 Huyu Yohane ndiye yule ambaye nabii Isaya alinena juu yake aliposema: “Sauti ya mtu anaita jangwani: ‘Mtayarishieni Bwana njia yake, nyosheni barabara zake.’”

Tazama sura Nakili

Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza

3 Huyu Yohane ndiye yule ambaye nabii Isaya alinena juu yake aliposema: “Sauti ya mtu anaita jangwani: ‘Mtayarishieni Bwana njia yake, nyosheni barabara zake.’”

Tazama sura Nakili

Neno: Bibilia Takatifu

3 Huyu ndiye yule aliyenenwa habari zake na nabii Isaya aliposema: “Sauti ya mtu aliaye nyikani, ‘Itengenezeni njia kwa ajili ya Mwenyezi Mungu, yanyoosheni mapito yake.’”

Tazama sura Nakili

Neno: Maandiko Matakatifu

3 Huyu ndiye yule aliyenenwa habari zake na nabii Isaya aliposema: “Sauti ya mtu aliaye huko nyikani, ‘Tayarisheni njia kwa ajili ya Mwenyezi Mungu, yanyoosheni mapito yake.’ ”

Tazama sura Nakili

Mathayo 3:3
8 Marejeleo ya Msalaba  

Sauti yake aliae jangwani, Itengenezeni njia ya Bwana, Nyosheni mapito yake.

Nae atatangulia mbele ya uso wake, mwenye roho ya Eliya, na nguvu zake, kuigeuza mioyo ya baba iwaelekee watoto wao, na kuwageuza maasi waelekee akili zao wenye haki; illi kumfanyia tayari Bwana watu waliotengenezwa.

Na wewe nawe, Mtoto, utakwitwa nabii wake Aliye juu: Kwa maana utatangulia mbele ya uso wake Bwana ufanyize njia zake;

Akasema, Mimi ni sauti ya mtu apaazae sauti jangwani, Inyosheni njia ya Bwana! kama alivyonena nabii Isaya.

Tufuate:

Matangazo

Matangazo