Biblia Todo Logo
Biblia ya mtandaoni

- Matangazo -

Mathayo 3:14 - New Testament in Swahili (Zanzibar) Revised Edition 1921

14 Lakini Yohana alikuwa akimzuia, akinena, Mimi nahitaji kubatizwa na wewe, na wewe waja kwangu?

Tazama sura Nakili

Matoleo zaidi

Biblia Habari Njema

14 Lakini Yohane alijaribu kumzuia akisema, “Je, wewe unakuja kwangu? Mimi hasa ndiye ninayehitaji kubatizwa nawe.”

Tazama sura Nakili

Biblia Habari Njema - BHND

14 Lakini Yohane alijaribu kumzuia akisema, “Je, wewe unakuja kwangu? Mimi hasa ndiye ninayehitaji kubatizwa nawe.”

Tazama sura Nakili

Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza

14 Lakini Yohane alijaribu kumzuia akisema, “Je, wewe unakuja kwangu? Mimi hasa ndiye ninayehitaji kubatizwa nawe.”

Tazama sura Nakili

Neno: Bibilia Takatifu

14 Lakini Yahya akajitahidi kumzuia, akimwambia, “Mimi ninahitaji kubatizwa na wewe, nawe waja kwangu nikubatize?”

Tazama sura Nakili

Neno: Maandiko Matakatifu

14 Lakini Yahya akajitahidi kumzuia, akimwambia, “Mimi ninahitaji kubatizwa na wewe, nawe waja kwangu nikubatize?”

Tazama sura Nakili

Mathayo 3:14
16 Marejeleo ya Msalaba  

Ndipo Yesu akafika hatta Yordani kwa Yohana kutoka Galilaya illi abatizwe nae.

Yesu akajibu, akamwambia, Hayo yaache sasa: kwa kuwa hivi imetupasa kutimiza haki yote. Bassi akamwacha.

Na latoka wapi neno hili lililonipata, mama wa Bwana wangu anijilie mimi?

Na katika ujazi wake sisi sote tulipokea, na neema juu ya neema.

Sipendi msiwe na khahari, ndugu zangu, ya kuwa marra nyingi nalikusudia kuja kwemi, nikazuiliwa hatta sasa, illi nipate kuwa na matunda kwenu ninyi pia kama nilivyo navyo katika mataifi mengine.

Maana hapana tofauti; kwa sababu wote wamefanya dhambi, wanaona kwamba wamepungukiwii utukufu wa Mungu:

ambae Mungu amekwisha kumweka awe upatanisho kwa damu yake, kwa njia ya imani, illi aonyeshe haki yake, kwa sababu ya kuziachilia dhambi zilizotangulia, katika uvumilivu wa Mungu:

Lakini andiko limeyafunga yote chini ya nguvu ya dhambi, makusudi waaminio wapewe ahadi kwa imani ya Yesu Kristo.

Na kwa kuwa ninyi ni wana, Mungu alimtuma Roho ya Mwana wake mioyoni mwenu, aliaye, Abba, Baba.

Tena wale walifanywa makuhani wengi, kwa sababu wazuiliwa na manti wasikae;

Tufuate:

Matangazo

Matangazo