Biblia Todo Logo
Biblia ya mtandaoni

- Matangazo -




Mathayo 3:13 - New Testament in Swahili (Zanzibar) Revised Edition 1921

13 Ndipo Yesu akafika hatta Yordani kwa Yohana kutoka Galilaya illi abatizwe nae.

Tazama sura Nakili


Matoleo zaidi

Biblia Habari Njema

13 Wakati huo Yesu alitoka Galilaya akafika katika mto Yordani, akamwendea Yohane ili abatizwe naye.

Tazama sura Nakili

Biblia Habari Njema - BHND

13 Wakati huo Yesu alitoka Galilaya akafika katika mto Yordani, akamwendea Yohane ili abatizwe naye.

Tazama sura Nakili

Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza

13 Wakati huo Yesu alitoka Galilaya akafika katika mto Yordani, akamwendea Yohane ili abatizwe naye.

Tazama sura Nakili

Neno: Bibilia Takatifu

13 Kisha Isa akaja kutoka Galilaya hadi Mto Yordani ili Yahya ambatize.

Tazama sura Nakili

Neno: Maandiko Matakatifu

13 Kisha Isa akaja kutoka Galilaya mpaka Mto Yordani ili Yahya ambatize.

Tazama sura Nakili




Mathayo 3:13
7 Marejeleo ya Msalaba  

Lakini aliposikia ya kwamba Arkelao anamiliki Yahudi mahali pa Herode baba yake, akaogopa kwenda huko; akaonywa katika ndoto, akaenda zake hatta pande za Galilaya,


Lakini Yohana alikuwa akimzuia, akinena, Mimi nahitaji kubatizwa na wewe, na wewe waja kwangu?


wakabatizwa nae mtoni Yordani, wakiziungama dhambi zao.


Nami sikumjua: lakini kusudi adhibirishwe kwa Israeli ndio maana nalikuja nikibatiza kwa maji.


Tufuate:

Matangazo


Matangazo