Biblia Todo Logo
Biblia ya mtandaoni

- Matangazo -




Mathayo 3:1 - New Testament in Swahili (Zanzibar) Revised Edition 1921

1 SIKU zile akaondokea Yohana Mbatizaji akikhubiri katika jangwa ya Yahudi, akinena,

Tazama sura Nakili


Matoleo zaidi

Biblia Habari Njema

1 Siku zile Yohane Mbatizaji alitokea, akaanza kuhubiri katika jangwa la Yudea:

Tazama sura Nakili

Biblia Habari Njema - BHND

1 Siku zile Yohane Mbatizaji alitokea, akaanza kuhubiri katika jangwa la Yudea:

Tazama sura Nakili

Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza

1 Siku zile Yohane Mbatizaji alitokea, akaanza kuhubiri katika jangwa la Yudea:

Tazama sura Nakili

Neno: Bibilia Takatifu

1 Siku hizo Yahya alikuja akihubiri katika nyika ya Yudea, akisema,

Tazama sura Nakili

Neno: Maandiko Matakatifu

1 Siku hizo Yahya alikuja akihubiri katika nyika ya Uyahudi, akisema,

Tazama sura Nakili




Mathayo 3:1
27 Marejeleo ya Msalaba  

Amin, nawaambieni, Hajaondokea mtu katika wazao wa wanawake aliye mkuu kuliko Yohana Mbatizaji: illakini aliye mdogo katika ufalme wa mbinguni ni mkuu kuliko yeye.


Nao wakienda zao, Yesu akaanza kuwaambia makutano khabari za Yohana, Mlitoka kwenda jangwani kutazama nini? Unyasi ukilikiswa na upepo?


Wakasema, Wengine Yohana Mbatizaji, wengine Eliya, wengine Yeremia au mmojawapo wa manabii.


Kwa sababu Yohana alikuja kwenu kwa njia ya haki, nanyi hamkumwamini; lakini watoza ushuru na makahaha walimwamini: nanyi mlipoona, hamkutuhu haada ya haya, na kumwamini.


Zaeni bassi matunda yaipasayo toba;


akineua, Wakati umetimia, na ufalme wa Muugu umekaribia; tubuni, kaiaminim injili.


kama ilivyoandikwa katika chuo cha manabii, Angalia, mimi namtuma mjumbe wangu mbele ya uso wako, Atakaefanyiza njia yako mbele yako.


Na wewe nawe, Mtoto, utakwitwa nabii wake Aliye juu: Kwa maana utatangulia mbele ya uso wake Bwana ufanyize njia zake;


Na wale wajumbe wa Yohana, walipokwisha kwenda zao, akaanza kuwaambia makutano khabari za Yohana, Mlitoka kwenda jangwani kutazama nini? Unyasi ukitikiswa na upepo?


akianza tangu ubatizo wa Yohana, hatta siku ile alipochukuliwa kwetu kwenda juu, lazima mmoja wao afanywe shahidi wa kufufuka kwake pamoja nasi.


Tufuate:

Matangazo


Matangazo