Biblia Todo Logo
Biblia ya mtandaoni

- Matangazo -




Mathayo 28:7 - New Testament in Swahili (Zanzibar) Revised Edition 1921

7 Shikeni njia upesi, kawaambieni wanafunzi wake, Amefufuka katika wafu; Tazama, anatangulia mbele yenu kwenda Galilaya; huko mtamwona: haya, nimewaambieni.

Tazama sura Nakili


Matoleo zaidi

Biblia Habari Njema

7 Basi, nendeni upesi mkawaambie wanafunzi wake kwamba amefufuka kutoka kwa wafu, na sasa anawatangulieni kule Galilaya; huko mtamwona. Haya, mimi nimekwisha waambieni.”

Tazama sura Nakili

Biblia Habari Njema - BHND

7 Basi, nendeni upesi mkawaambie wanafunzi wake kwamba amefufuka kutoka kwa wafu, na sasa anawatangulieni kule Galilaya; huko mtamwona. Haya, mimi nimekwisha waambieni.”

Tazama sura Nakili

Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza

7 Basi, nendeni upesi mkawaambie wanafunzi wake kwamba amefufuka kutoka kwa wafu, na sasa anawatangulieni kule Galilaya; huko mtamwona. Haya, mimi nimekwisha waambieni.”

Tazama sura Nakili

Neno: Bibilia Takatifu

7 Kisha nendeni upesi mkawaambie wanafunzi wake kwamba, ‘Amefufuka kutoka kwa wafu, naye anawatangulia kwenda Galilaya. Mtamwona huko.’ Sasa nimekwisha kuwaambia.”

Tazama sura Nakili

Neno: Maandiko Matakatifu

7 Kisha nendeni upesi mkawaambie wanafunzi wake kwamba, ‘Amefufuka kutoka kwa wafu, naye awatangulia kwenda Galilaya. Huko ndiko mtamwona. Sasa nimekwisha kuwaambia.’ ”

Tazama sura Nakili




Mathayo 28:7
20 Marejeleo ya Msalaba  

Angalieni, nimetangulia kuwaambieni.


Lakini baada ya kufufuka kwangu, nitatangulia mbele yenu kwenda Galilaya.


Yesu akawaambia, Msiogope: enendeni, mkawaambie ndugu zangu waemle Galilaya, ndiko watakakoniona.


Wakaondoka upesi kutoka kaburini, kwa khofu na furaha nyingi, wakaenda mbio kuwapasha wanafunzi wake khabari.


Lakini baada ya kufufuka kwangu, nitawatangulia kwenda Galilaya.


Huyu akashika njia akawapa khabari wale waliokuwa pamoja nae tangu zamani, wangali wakiomboleza na kulia.


Na hawa wakaenda zao wakawapa khabari wale wengine: wala hawakuwasadiki hawa.


wakisema, Hakika Bwana amefufuka, amemtokea Simon.


Na sasa nimewaambieni kabla haijawa, kusudi iwapo, mwamini.


Lakini nimewaambieni haya, illi kusudi saa ile itakapokuja myakumbuke ya kuwa mimi naliwaambieni. Haya sikuwaambieni tangu mwanzo, kwa sababu nalikuwa pamoja nanyi.


na ya kuwa alizikwa; na ya kuwa alifufuka siku ya tatu, kama yanenavyo maandiko;


baadae alionekana na ndugu zaidi ya khamsi mia pamoja; katika hao walio wengi wanaishi hatta sasa, wengine wamelala;


Tufuate:

Matangazo


Matangazo