Biblia Todo Logo
Biblia ya mtandaoni

- Matangazo -




Mathayo 28:17 - New Testament in Swahili (Zanzibar) Revised Edition 1921

17 Nao walipomwona, wakamsujudia; lakini wengine waliona shaka.

Tazama sura Nakili


Matoleo zaidi

Biblia Habari Njema

17 Walipomwona wakamwabudu, ingawa wengine walikuwa na mashaka.

Tazama sura Nakili

Biblia Habari Njema - BHND

17 Walipomwona wakamwabudu, ingawa wengine walikuwa na mashaka.

Tazama sura Nakili

Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza

17 Walipomwona wakamwabudu, ingawa wengine walikuwa na mashaka.

Tazama sura Nakili

Neno: Bibilia Takatifu

17 Walipomwona, wakamwabudu; lakini baadhi yao wakaona shaka.

Tazama sura Nakili

Neno: Maandiko Matakatifu

17 Walipomwona, wakamwabudu; lakini baadhi yao wakaona shaka.

Tazama sura Nakili




Mathayo 28:17
10 Marejeleo ya Msalaba  

Amin, nawaambieni, Pana watu katika hawo wanaosimama hapa, ambao hawataonja mauti kabisa, hatta watakapomwona Mwana wa Adamu akija katika ufalme wake.


Nao walipokuwa wakienda kuwapasha wanafunzi wake khabari, Yesu akakutana nao, akinena, Salam! Wakakaribia wakamshika miguu, wakamsujudia.


Na hawa waliposikia kama yu hayi akaonwa nae, hawakusadiki.


Na hawa wakaenda zao wakawapa khabari wale wengine: wala hawakuwasadiki hawa.


Baadae akaonekana na wale edashara walipokuwa wakila, akawalaumu kwa kutoamini kwao na ugumu wa mioyo yao, kwa kuwa hawakuwasadiki waliomwona alipofufuka.


illi wote wamheshimu Mwana kama wanavyomheshimu Baba. Asiyemheshimu Mwana, hamheshimu Baba aliyempeleka.


na baada ya kuteswa kwake, akawadhihirisbia ya kwamba yu hayi, kwa dalili nyingi, akiwatokea muda wa siku arubaini, na kuyanena mambo yaliyonkhusu ufalme wa Mungu.


baadae alionekana na ndugu zaidi ya khamsi mia pamoja; katika hao walio wengi wanaishi hatta sasa, wengine wamelala;


Tufuate:

Matangazo


Matangazo