Biblia Todo Logo
Biblia ya mtandaoni

- Matangazo -




Mathayo 28:16 - New Testament in Swahili (Zanzibar) Revised Edition 1921

16 Na wale wanafunzi edashara wakaenda Galilaya hatta mlima ule aliowaagiza Yesu.

Tazama sura Nakili


Matoleo zaidi

Biblia Habari Njema

16 Wale wanafunzi kumi na mmoja walikwenda Galilaya kwenye ule mlima aliowaagizia Yesu.

Tazama sura Nakili

Biblia Habari Njema - BHND

16 Wale wanafunzi kumi na mmoja walikwenda Galilaya kwenye ule mlima aliowaagizia Yesu.

Tazama sura Nakili

Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza

16 Wale wanafunzi kumi na mmoja walikwenda Galilaya kwenye ule mlima aliowaagizia Yesu.

Tazama sura Nakili

Neno: Bibilia Takatifu

16 Basi wale wanafunzi kumi na mmoja wakaenda hadi Galilaya kwenye ule mlima ambao Isa alikuwa amewaagiza.

Tazama sura Nakili

Neno: Maandiko Matakatifu

16 Basi wale wanafunzi kumi na mmoja wakaenda hadi Galilaya kwenye ule mlima ambao Isa alikuwa amewaagiza.

Tazama sura Nakili




Mathayo 28:16
10 Marejeleo ya Msalaba  

Lakini baada ya kufufuka kwangu, nitatangulia mbele yenu kwenda Galilaya.


Yesu akawaambia, Msiogope: enendeni, mkawaambie ndugu zangu waemle Galilaya, ndiko watakakoniona.


Shikeni njia upesi, kawaambieni wanafunzi wake, Amefufuka katika wafu; Tazama, anatangulia mbele yenu kwenda Galilaya; huko mtamwona: haya, nimewaambieni.


Lakini baada ya kufufuka kwangu, nitawatangulia kwenda Galilaya.


hawa ndio waliomfuata alipokuwa Galilaya, na kumkhudumia; na wengine wengi waliopanda pamoja nae hatta Yerusalemi.


Baadae akaonekana na wale edashara walipokuwa wakila, akawalaumu kwa kutoamini kwao na ugumu wa mioyo yao, kwa kuwa hawakuwasadiki waliomwona alipofufuka.


Lakini enendeni zenu, mkawaambie wanafunzi wake, na Petro, ya kwamba awatangulia kwenda Galilaya: huko mtamwona, kama alivyowaambia.


Yesu akawajibu, Je! sikuwachagua ninyi thenashara, na mmoja wenu ni Shetani?


Naam, na sisi tumeonekana kuwa mashahidi wa uwongo wa Mungu; kwa maana tulimshuhudia Mungu ya kuwa alimfufua Kristo, ambae hakumfufua, ikiwa wafu hawafufuliwi.


Tufuate:

Matangazo


Matangazo