Biblia Todo Logo
Biblia ya mtandaoni

- Matangazo -




Mathayo 28:15 - New Testament in Swahili (Zanzibar) Revised Edition 1921

15 Bassi wakazitwaa zile fedha, wakafanya kama walivyofundishwa. Na neno lile likaenea katika Wayahudi hatta leo.

Tazama sura Nakili


Matoleo zaidi

Biblia Habari Njema

15 Wale walinzi wakazichukua zile fedha, wakafanya kama walivyofundishwa. Habari hiyo imeenea kati ya Wayahudi mpaka leo.

Tazama sura Nakili

Biblia Habari Njema - BHND

15 Wale walinzi wakazichukua zile fedha, wakafanya kama walivyofundishwa. Habari hiyo imeenea kati ya Wayahudi mpaka leo.

Tazama sura Nakili

Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza

15 Wale walinzi wakazichukua zile fedha, wakafanya kama walivyofundishwa. Habari hiyo imeenea kati ya Wayahudi mpaka leo.

Tazama sura Nakili

Neno: Bibilia Takatifu

15 Hivyo basi, wale askari wakazipokea hizo fedha nao wakafanya kama walivyoelekezwa. Habari hii imeenea miongoni mwa Wayahudi hadi leo.

Tazama sura Nakili

Neno: Maandiko Matakatifu

15 Kwa hiyo wale askari wakazipokea hizo fedha nao wakafanya kama walivyoelekezwa. Habari hii imeenea miongoni mwa Wayahudi mpaka leo.

Tazama sura Nakili




Mathayo 28:15
5 Marejeleo ya Msalaba  

akasema, Nini mtakayonipa, nami nitamsaliti kwenu? Wakampimia vijiande thelathini vya fedha.


Kwa hiyo konde lile linakwitwa konde la damu, hatta leo.


Lakini wakatoka, wakaeneza khabari zake katika inchi ile yote.


Nae akatoka, akaanza kukhubiri mengi, na kulitangaza lile neno, hatta Yesu asiweze tena kuingia mjini kwa wazi; bali alikuwa nje mabali pasipo watu; wakamwendea kutoka killa pahali.


Maana shina moja la mabaya yote ni kupenda fedha, ambayo wengine wakiitamani hiyo wamefarakana na Imani na kujichoma kwa maumivu mengi.


Tufuate:

Matangazo


Matangazo