Mathayo 28:14 - New Testament in Swahili (Zanzibar) Revised Edition 192114 Na jambo hili likisikilikana kwa liwali, tutasema nae, nanyi tutawaondoa shaka. Tazama suraMatoleo zaidiBiblia Habari Njema14 Na kama mkuu wa mkoa akijua jambo hili, sisi tutasema naye na kuhakikisha kuwa nyinyi hamtapata matatizo.” Tazama suraBiblia Habari Njema - BHND14 Na kama mkuu wa mkoa akijua jambo hili, sisi tutasema naye na kuhakikisha kuwa nyinyi hamtapata matatizo.” Tazama suraBiblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza14 Na kama mkuu wa mkoa akijua jambo hili, sisi tutasema naye na kuhakikisha kuwa nyinyi hamtapata matatizo.” Tazama suraNeno: Bibilia Takatifu14 Kama habari hizi zikimfikia mtawala, sisi tutamwondolea mashaka nanyi hamtapata tatizo lolote.” Tazama suraNeno: Maandiko Matakatifu14 Kama habari hizi zikimfikia mtawala, sisi tutamwondolea mashaka nanyi hamtapata tatizo lolote.” Tazama sura |