Mathayo 28:11 - New Testament in Swahili (Zanzibar) Revised Edition 192111 Nao walipokuwa wakienda njiani, baadhi ya askari waliingia mjini, wakawapasha makuhani wakuu khabari za mambo yote yaliyotendeka. Tazama suraMatoleo zaidiBiblia Habari Njema11 Wale wanawake walipokuwa wanakwenda zao, baadhi ya walinzi wa lile kaburi walikwenda mjini kutoa taarifa kwa makuhani wakuu juu ya mambo yote yaliyotukia. Tazama suraBiblia Habari Njema - BHND11 Wale wanawake walipokuwa wanakwenda zao, baadhi ya walinzi wa lile kaburi walikwenda mjini kutoa taarifa kwa makuhani wakuu juu ya mambo yote yaliyotukia. Tazama suraBiblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza11 Wale wanawake walipokuwa wanakwenda zao, baadhi ya walinzi wa lile kaburi walikwenda mjini kutoa taarifa kwa makuhani wakuu juu ya mambo yote yaliyotukia. Tazama suraNeno: Bibilia Takatifu11 Wale wanawake wakiwa njiani wakienda, baadhi ya wale askari waliokuwa wakilinda kaburi walienda mjini na kuwaeleza viongozi wa makuhani kila kitu kilichokuwa kimetukia. Tazama suraNeno: Maandiko Matakatifu11 Wakati wale wanawake walikuwa njiani wakienda, baadhi ya wale askari waliokuwa wakilinda kaburi walienda mjini na kuwaeleza viongozi wa makuhani kila kitu kilichokuwa kimetukia. Tazama sura |