Biblia Todo Logo
Biblia ya mtandaoni

- Matangazo -

Mathayo 28:1 - New Testament in Swahili (Zanzibar) Revised Edition 1921

1 SABATO ilipokwisha, ikipambazuka siku ya kwanza ya juma, akaenda Mariamu Magdalene, na Mariamu yule wa pili, kulitazama kaburi.

Tazama sura Nakili

Matoleo zaidi

Biblia Habari Njema

1 Baada ya Sabato, karibu na mapambazuko ya siku ile ya Jumapili, Maria Magdalene na yule Maria mwingine walikwenda kutazama lile kaburi.

Tazama sura Nakili

Biblia Habari Njema - BHND

1 Baada ya Sabato, karibu na mapambazuko ya siku ile ya Jumapili, Maria Magdalene na yule Maria mwingine walikwenda kutazama lile kaburi.

Tazama sura Nakili

Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza

1 Baada ya Sabato, karibu na mapambazuko ya siku ile ya Jumapili, Maria Magdalene na yule Maria mwingine walikwenda kutazama lile kaburi.

Tazama sura Nakili

Neno: Bibilia Takatifu

1 Baada ya Sabato, alfajiri mapema siku ya kwanza ya juma, Mariamu Magdalene na yule Mariamu mwingine walienda kulitazama kaburi.

Tazama sura Nakili

Neno: Maandiko Matakatifu

1 Baada ya Sabato, alfajiri mapema siku ya kwanza ya juma, Maria Magdalene na yule Maria mwingine walikwenda kulitazama kaburi.

Tazama sura Nakili

Mathayo 28:1
9 Marejeleo ya Msalaba  

Miongoni mwao alikuwamo Mariamu Magdalene, na Mariamu mama yao Yakobo na Yose, na mama yao wana wa Zebedayo.

Walikuwako hapo Mariamu Magdalene, na Mariamu yule wa pili, wameketi kulielekea kaburi.

Na siku ya sabato wakastarehe kama ilivyoamriwa.

HATTA siku ya kwanza ya juma, ikianza kupambazuka, wakaenda kaburini wakiyaleta yale manukato waliyoyaweka tayari, na wengine pamoja nao.

Kuna tena wanawake wengine wa kwetu waliotustusha, wakiamkia mapema kwenda kaburini:

Tufuate:

Matangazo

Matangazo