Biblia Todo Logo
Biblia ya mtandaoni

- Matangazo -




Mathayo 27:7 - New Testament in Swahili (Zanzibar) Revised Edition 1921

7 Wakafanya shauri, wakavitumia kwa kununua konde la mfinyangi liwe mahali pa kuzikia wageni.

Tazama sura Nakili


Matoleo zaidi

Biblia Habari Njema

7 Basi, wakashauriana, wakazitumia kununua shamba la mfinyanzi liwe mahali pa kuzika wageni.

Tazama sura Nakili

Biblia Habari Njema - BHND

7 Basi, wakashauriana, wakazitumia kununua shamba la mfinyanzi liwe mahali pa kuzika wageni.

Tazama sura Nakili

Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza

7 Basi, wakashauriana, wakazitumia kununua shamba la mfinyanzi liwe mahali pa kuzika wageni.

Tazama sura Nakili

Neno: Bibilia Takatifu

7 Hivyo basi, baada ya kushauriana, waliamua kuzitumia kununulia shamba la mfinyanzi, liwe mahali pa kuzikia wageni.

Tazama sura Nakili

Neno: Maandiko Matakatifu

7 Kwa hiyo baada ya kushauriana, waliamua kuzitumia kununulia shamba la mfinyanzi, liwe mahali pa kuzikia wageni.

Tazama sura Nakili




Mathayo 27:7
2 Marejeleo ya Msalaba  

Makuhani wakuu wakavitwaa vile vipande vya fedha, wakasema, Ni haramu kuviweka katika sanduku ya sadaka, kwa kuwa ni kima cha damu.


Kwa hiyo konde lile linakwitwa konde la damu, hatta leo.


Tufuate:

Matangazo


Matangazo